Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,049
Kuwa na adabu mkulungwa, silagi nchele tangu kuzaliwa kwangu.Haya madini unayotoa, leo kwashemej hapo watakua wamepika pilau
Usiishi katika wakati wa nyuma, usiwe na ndoto kubwa kupita kiasi wakati ujao, wekeza nguvu zako wakati ulionao kwa sasa.
Usisahau mipango endelevu ya wakati ujao, hekima ya mtu huanza pale anapoukubari ujinga alionao... Mjusi sina baya.
Leo ukutani kulikuwa na motomoto, sikupata baridi la kutosha.Naona leo ulitumia Muda mrefu saana kukaa peke yako huku ukitafakari.
Kuwa na adabu mkulungwa, silagi nchele tangu kuzaliwa kwangu.
Mkuu, huu,☝️mmea ni mtamu haswa!View attachment 3542139
Sema haka ka mmea ni kazuri sana katika kufanya tafakuri
HahahaView attachment 3542139
Sema haka ka mmea ni kazuri sana katika kufanya tafakuri
Siwezi kupinga kwa sababu binadamu tumeumbwa na mitazamo tofauti katika jambo moja.Kuzingatia sasa na kupuuza ndoto kubwa au historia ya yaliyo pita hakuonyeshi hekima.
Hekima ni kujifunza kutoka zamani, kuishi sasa kwa busara, na kupanga kesho kwa akili.
Ni lijimti siyo kimmea kadogo.View attachment 3542139
Sema haka ka mmea ni kazuri sana katika kufanya tafakuri
Ni kweli upo sahihi sanaSiwezi kupinga kwa sababu binadamu tumeumbwa na mitazamo tofauti katika jambo moja.
Huwezi kuelewa kama umezoa kusoma vitabu nyuma ya pazia.Busara ni kujifunza lakini hapo hapo watasha husema ndoto zisizidi uwezo.
Ipo tofauti kubwa sana kati ya Kutenda kwa Busara na kutenda kwa hekima.Huwezi kuelewa kama umezoa kusoma vitabu nyuma ya pazia.
hakika ndivyo ilivyo.Ipo tofauti kubwa sana kati ya Kutenda kwa Busara na kutenda kwa hekima.
Hivyo hapo unazungumzia zaidi kutenda kwa busara , ila kutenda kwa hekima kunazingatia hali ya kina zaidi kutegemea historia ya yaliyo pita na hali ya sasa.hakika ndivyo ilivyo.
Hahaha kuna ka harufu ka ukweliNahisi Mjusi Sharobalo ndio alikua anatumia ID ya Kijana masikini,halafu akabadili tena ID kabla ya kua na hii ya Mjusi.