Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,206
- 1,695
Omba lisikutokee“Pepo mchafu akisha mtoka mtu, hupita katika mahali pasipo maji akitafuta raha, asipate. Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka. Akija, aiona tupu, imefagiliwa na kupambwa. Ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye, wakaingia na kukaa humo; yule mtu hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.”
Asante kwa swali lako subiri uone, ilikuwa hivi Mungu alifanya agano na mababu wa Israeli (kama Abrahamu, Musa) ambalo lilihusisha utiifu kwa amri zake na ibada ya pekee kwake. Agano hili lilikuwa msingi wa utambulisho wa taifa hilo.Mtumishi Samson Ernest hivi hilo agano aliweka Yesu au nani Embu nieleweshe hapo
Laana unaweza ukawa nazo kabla ya kuokoka, ukishaokoka huwezi kuwa na laana tena, kwa sababu Yesu alifanyika laana kwa ajili yako, haiwezekani tena kumwamini aliyefanyika laana badala yako ukawa na kitu ambacho alishakilipia.Mtumish huamin juu ya habari ya laana?