Usipoteze muda chukua hatua

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
Habari za majukumu.

Kuna tatizo watu wengi hasa watu wa dini wakiamni mungu anajishughulisha na masuala ya mahusiano hasa wanawake kuna kipindi nilihudhuria semina kanisa fulani ikafika muda wa watu wanaohitaji wenza kwenda kuombewa japo sijaoa lakini sikutii wito basi kati ya zile column mbili zilizokuwepo almost 90% ni wanawake nilishangaa kweli kuona hata jukumu la kutafuta mwenza nalo unahitaji maombi na kusema kweli siamini katika haya maombi kama yanafanya kazi only kuotea dunia ina watu wema na wabaya haijalishi kama umeomba au hujaomba ukikosea umekosea ukipatia umepatia only kuwa makini wala huhitaji spiritual guide utapoteza muda nina mifano mingi ya ndugu zangu walokole waliooa kwa kufuata taratibu za kupewa ufunuo kama wanavyodai.

Lakini ndoa zao zipo icu na kuna jamaa zangu waislamu wao walioa kwa kumwambia mwanamke kauli moja tu 'NAKUPENDA NATAKA KUKUOA' toka tupo college na ndoa zao zinadumu mpaka sasa ukizani uliomba uko na mume/mke mwema ujue umeotea kuna mwenzako aliomba kama wewe lakin kapata garasha na mwingine anasubiri mpaka kesho huku yupo 30+ simply b'cause maombi hayo hayafanyi kazi.

USHAURI: Ni kupoteza muda kuendelea kuomba kwaajili ya mahusiano hata kama mungu anajibu maombi yenu ataacha kutibu ebola, diabate, hivi, hypertension ahangaike kukutafutia mchumba its pretty arrogant to think that.

Wasalam.
 
......mnh huko kny makanisa ya kilokole ndiko mnakowindwa...god fearing men lol,ikifika wakati wangu hata mimi nitaenda 😆😆😆😆😆....ujue mpaka wameenda huko wamekata tamaa na wako desperate...wacha wafanye lile litakalowapa faraja....(kuomba)!...hata km ni sawa kutwanga maji kny kinu...

Topik yako ni nzuri mkuu,ila usingetoa mfano wa uislamu na ukristo.....
 

Kwani wakati wako haujafikia tuu..
 
Thanks for correction american dream.
 
imaney nawe bado upo upo fanya utaratibu mapema kabla ya kusibiri ufunuo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…