usione wanajenga majumba ya kifahari ukadhani wachacharikaji, wanapunda wao wanaowatumia
usione anashindwa kufanya maamuzi magumu ukadhani kapendi, anaogopa watamuua
usione anazunguka huku na kule kwenye nyumba za ibada ukadhani mchamungu, anautaka urais 2015
usione kila akitoa kauli bungeni inaleta utata kwenye jamii ukadhani anafanya makusudi, hajui cha kuongea
usione kila barabara ikikamilika wanaizindua kwa kuandamana ukadhani wanadai haki, ndiyo kasumba yao
usione mbuzi kanona ukadhania mzima,
usione simba kalowa ukafikiri ni nyau
in short usione ukadhani
yani usione hii thread haikuchekeshi, ina maana yake