Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,046
- 1,349
USIMPUUZE MKEO
Mwanamke akikasirika, mara nyingi huongea kwa maumivu sio logic
Usimjibu kwa ubishi, jibu kwa utulivu. Upole wako unaweza kubadilisha hali.
Imani yake ikivunjika, hairudi kirahisi.
Chunga maneno yako, timiza ahadi zako.
Usidhani ndoa ni mwisho wa juhudi za upendo ndio mwanzo wa kujitahidi zaidi. Mjali, mheshimu, na muonyeshe kila siku kuwa hujakosea kumchagua.
Ukianza kumpuuza, ataanza kukaa kimya… na ukimya wake utakufundisha kwa maumivu.
Wanawake wanapenda kuhisiwa wana thamani. Vitendo vidogo vinaweza kujenga au kuvunja kila kitu.
Kama una mwanamke mzuri, usimchukulie poa. Vijana wapo wanaifukuzia nafasi yako.
THAMINI KABLA HUJAPOTEZA.
✍️Abuuabdillah