The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 307
Acheni kutuharibia jamani.
Mbona mwajiweka pembeni kana kwamba hakuna wanaume wanaosomeshwa na wanawake.
Mbona na nyie twawasomesha, twawanunulia mpaka boxer, lakini hamridhiki!
Acheni kufanya maboyfriend zetu wasitishe misaada kwetu.
...ole msaada ukate upande wangu, nakuja kula kwenu The Hunter.
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga familia bora, lakini amini haiitaji research kufahamu wanawake ni viumbe wasiokumbuka na hawajali kiivo.
Kama umemuoa kuwa huru na mwenye furaha kumsaidia, ila kama ni rafiki amini uko kwenye kundi la waangua vilio na wajutaji mbeleni.
Hulazimishwi kuamini, msomeshe akimaliza anachosoma uone kama wajanja hawajakupokonya

usitoe uone kama utaoa achilia mbali kugegeda.
habari ndio hiyo, mkono mtupu haulambwi.... Waowaji na waolewaji wa baadae wanakazi sana
Ni kweli madam , ila Bei ya boxer na Verrosa ni sawa!? Kama kwenye 10 basi ni 4 wanaosomeshwa na wanawake. Ukweli utabaki pale pale wanaume bado ni wahanga wa hili.