Kwa muda sasa str4922 imekuwa kiboko ya receiver maana ina kila unachokihitaji, sasa kwa sasa katika software iliyotoka kwa ajili ya receiver hizi utaweza kutazama chanel mbalimbali zenye movie kali kali kama vile hbo ambayo ni maarufu sana. Sasa kwa str4922 pekee na yenye software ya 184p utatazama chanel zilizofungwa kwa teknolojia ya power vu.,power vu ni sawa a bisskey ila hii imekuja kwa str4922 pekee..,
Naikubali sana str4922 hasa baada ya ujio wa power vu maana sasa naweza kutazama chanel za maana sana mfano hbo,animal planet,sony sport nk ambazo hupatikana ktk dstv pekee.,shikamoo power vu,shikamoo str4922