Usikojoe Hapa

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Tahadhari, usikojoe ukutani ukiwa Ujerumani.

Viongozi wa Hamburg, Ujerumani wamechoshwa na tabia ya watu kukojolea ukuta mjini na kuamua kuupaka rangi maalum "inayodunda" mkojo na kumrowesha anayekojoa.

Rangi maalum inaitwa "super hydrophobic anti- pee coating" inaifanya ukuta uwe "waterproof" na mtu akikojoa, mkojo unadunda na kumchafua mkojoani.

Ukuta wote karibu na mabaa umepakwa rangi hii baada ya kuona inapunguza gharama za kuwapeleka wafanyakazi kusafisha kila siku.

Miji mingine pia zimenunua rangi hii kama San Francisco, Marekani.






source:mirror.co.uk
 
Hiyo rangi ipo pia bongo, sio kwamba inazuia mkojo pekee, hata maji pia. Ukipaka nyumba yako kwenye mkanda/msingi inasaidia kuzuia maji kuharibu ukuta.
 
Hiyo rangi ipo pia bongo, sio kwamba inazuia mkojo pekee, hata maji pia. Ukipaka nyumba yako kwenye mkanda/msingi inasaidia kuzuia maji kuharibu ukuta.

Ahsante. Nimekuelewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…