Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,651 Reaction score 3,822 Nov 20, 2017 #1 Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni. Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa Kabla ya hapo Mchezo ulikuwa hivi
Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni. Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa Kabla ya hapo Mchezo ulikuwa hivi
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,250 Reaction score 2,870 Nov 20, 2017 #2 Mwamba028 said: Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni. Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa Kabla ya hapo Mchezo ulikuwa hivi Click to expand... sisi hao,na pickup yetu
Mwamba028 said: Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni. Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa Kabla ya hapo Mchezo ulikuwa hivi Click to expand... sisi hao,na pickup yetu
tramadol JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 5,383 Reaction score 4,323 Nov 20, 2017 #3 Hata Polisi wetu si wakuchezea ovyo ovyo
strugo JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,234 Reaction score 1,839 Nov 20, 2017 #4 Polisi wa makonda wako very active hasa kwenye mambo ya mwisho saa 6
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Nov 21, 2017 #5 strugo said: Polisi wa makonda wako very active hasa kwenye mambo ya mwisho saa 6 Click to expand... Na kuzuia mikutano ya upinzani Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
strugo said: Polisi wa makonda wako very active hasa kwenye mambo ya mwisho saa 6 Click to expand... Na kuzuia mikutano ya upinzani Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,218 Reaction score 777,983 Nov 21, 2017 #6 Polisi wa Marekani ni lazima wawe hivyo, maana wahalifu wao nao wapo vizuri