Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,910
- 3,024
MuhimuSio kila dalili ni CORONA
Huu mchanganyiko kiasili tunaitaje mkuu?Asali,Tangawizi,Kitunguu Saumu na Kitunguu Maji
Changanya vyote hivi,na kula Asubuhi na jioni au zaid
Dhihaka ni Desturi ya WajingaHapa nitakudhihaki lakini maji yakinifika shingoni nitafanya hii mambo uliyosema.
Tuache kukariri saaaanaHuo mchemsho unatoa chemical compound gani mkuu ili tu derive formula tuwapige hela wazungu.
Mbona unanisimanga mkuu!Tuache kukariri saaaana
Jaribu kutengeneza Formula ya maisha yako
Wengi wetu
Kujua kwetu sana kwiiingi, kunasababisha matatizo katika Jamii
Tumia vitu vya asili, kwa faida yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ChiefMbona unanisimanga mkuu!
Unakoelekea utaniambia nisitumie kibiriti badala yake nipekeche vijiti kupata nishati ya moto.
Kwa taarifa yako vitu vya asili vilivyobaki ni matunda pori, the rest ni bidhaa za viwanda.
Shukran boss, naunga mkono hoja yako,lkn ulitumia neno(ukapata nafuu kidogo) inamaanisja nini?Habari zenu wana Jf,
Nataraji mpo salama pamoja na Familia zenu
Niende kwenye lengo. Mimi kama mmoja wa wale waliopata dalili juu ya Gonjwa hili la Corona,Takriban Dalili zote nilikuwa nazo, nikawa hoi siwezi hata kuongea vema, upumuaji wa tabu, sipati ladha ya chakula.
Kiukweli, sikupenda kwenda Hospital kwa sababu zangu binafsi. Ila kuna mambo nilijaribu kuyafanya,nikapata nafuu kidogo na kuendelea na majukumu yangu ya kila siku, mwanzo kabisa, nilishindwa hata kutembea laini kwasasa hata kukimbia naweza, kwa hili sina budi kumshukuru Mola aliye juu.
Niliweza kujitengenezea baadhi ya Dawa
Napenda kushare nanyi
1)Asali,Tangawizi, Kitunguu Saumu na Kitunguu Maji
Changanya vyote hivi na kula Asubuhi na jioni au zaidi
2)Maji ya Vuguvugu na Limao pamoja Na Tangawizi, changanya kunywa
Asubuhi na Jioni
3)Chemsha Mwarobaini katika Sufuria ya Wastani, kisha Changanya na Mafuta ya Habat Soda, Jifunike shuka na kujifukiza,
Asubuhi na Jioni
TANBIH
Chemsha kisawasawa ,mpaka yatokote
Mwisho
Mtegemee Mola wako na muombe sana,kwani hakika yeye ni msikivu na mwenye kukubali maombi ya waja wake
Shukran sana
Samahani kwa kuwachosha
Mola awe pamoja nanyi
By:Abuu Dharr
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndo cha msingi ili tufanye extraction ya kufa mtu ya hiyo compound watu tuingie lab fasta tuko moto vibaya wazungu wanatutesa sana na gunduzi zaoHuo mchemsho unatoa chemical compound gani mkuu ili tu derive formula tuwapige hela wazungu.