Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
All Time Trophies | ||
Tupatie basi na matokeo ya head-to-head msimu huu, lakini kama unayoTukiwa tunaelekea katika mechi za Ligi Kuu ya Vodacom 2014/2015 katikakati na mwishoni mwa wiki hii na kwa kuwa ligi inaelekea ukingoni, si vibaya tukatupia macho yetu katika 'performance' za Klabu za Yanga na Simba ili kujua nani ni bora zaidi ya mwenzake.
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?
simba ni bora afrika
source:Caf
Tupatie basi na matokeo ya head-to-head msimu huu, lakini kama unayo
Vipi presha inasoma ngapi kuelekea game yetu na waarabu?
yaani mi sijui kama nitaangalia hiyo mechi nifah manake najijua, nafikiria hata JF nisiingie, hata redio nisisikilize nije tu nipate matokeo mpira umeishaisha. Yaani kifupi nisisikie chochote hadi filimbi ya mwisho. Kweli kwa sasa ndo mpango nilionao. Mechi yenyewe si Mei mosi au?
Aaaaarg usifanye hivyo bwana mito!yaani mi sijui kama nitaangalia hiyo mechi nifah manake najijua, nafikiria hata JF nisiingie, hata redio nisisikilize nije tu nipate matokeo mpira umeishaisha. Yaani kifupi nisisikie chochote hadi filimbi ya mwisho. Kweli kwa sasa ndo mpango nilionao. Mechi yenyewe si Mei mosi au?
Wewe jamaa una wivu kama huyo mdudu hapo kwenye avatar yako!KOCHA .................................................................................................. MASHABIKI
..............................................
Hapana mkuu, ukijua match played, points, goals etc bado haiwezeshi kuyajua matokeo ya head-to-head. Nimeomba tu, kama yapo nipatie kwa kuwa kuna wakati Angola iliwahi kuqualify for WC just b'se of Head-to-Head favorite over Nigeria. While Nigeria ilikuwa na goal difference ya +14, Angola ilikuwa na goal difference ya +6 but qualified, so sometimes FIFA honors overall HTH winners.Matokeo ya head-to-head msimu huu yana lowest priority maana tayari yamejumuishwa katika data zilizotolewa hapo juu.
Nipo DRC huku, sina wivu saana na timu za Dar, but I know Simba (and most of Lubumbashi soccer fans) just of Samata (previously Simba player). Hiyo avatar ni honey badger, ana wivu ndio lakini si kwa vilabu vya kabumbu, bali kwa mkewe mrembo!Wewe jamaa una wivu kama huyo mdudu hapo kwenye avatar yako!
Hahahaaa,na hila je?Nipo DRC huku, sina wivu saana na timu za Dar, but I know Simba (and most of Lubumbashi soccer fans) just of Samata (previously Simba player). Hiyo avatar ni honey badger, ana wivu ndio lakini si kwa vilabu vya kabumbu, bali kwa mkewe mrembo!