Ushirikina Yanga vs Shaba

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Sikuwepo uwanjani na sikutazama soka kupitia TV. Taarifa zikasambaa asubuhi hii kuwa kuna tukio lenye dalili ya shirki lilitokea kwenye mechi hii ya jana.

Nimeona picha mahali, zinazoonesha tukio hili kama lilivyochukuliwa na kamera za Azam TV,


 
Hilo tukio ni muendelezo wa matukio yanayo tokea kila mara katika soka ka Tanzania..kitakacho shangaza viongozi wetu wa soka watachukulia poa tu km hakuna kilichotokea na kwa bahat mbaya matukio haya yahusiana na Yanga kumbuka tukio la Kavumbagu na wenzake kung'ang'ania taulo la Ivo..kuna haja ya kuwapiga fain wahuni wa aina hii na kuwafungia kutokuhudhuria mechi za ligi kwa kipind fulan tena bahat huyo shabik anajulikana
 
TV inaonsha mvua ilikua inanyesha
 
ongostaz.blogspot.com/2015/01/mpishi-wa-bao-la-yanga-jana-alala.html
 
aisifuye mvua jua imemnyea...........Yanga nao wachawi ndio maana
 
Hivi ni kwa nini siku zote yanga ndio hua wanalalamikia uchawi? kwa hio wanalogwa wao tu?

Unajua ushirikina ni imani

Ukiwa na imani hiyo wewe ni mshirikina

Yanga ni washirikina
 
Hukuwa ushirikina wala mini basi kwa taarifa yako yanga walikuwa wanajihami kwa sababu walikuwa wanakosa magoli kwa uzembe wao na goli kipa Wa shaba alikuwa mahiri Sana langoni zile zilikuwa gloves za kipa na zilioneshwa Mara mbili mbili, yanga na simba zimeshaanza kupotea mbona ndio akilli zao zilipo
 
Ningefurahi sana kuona Simba na Yanga zinapotea kabisa kwenye medani ya soka ulimwengu huu, timu hizi mbili ndio zinafanya hata timu yetu ya taifa iwe kichwa cha mwendawazimu.
 

Jamaa alinyakwa akalala lupango, kwa sasa yuko mtaani anakula nchi kama inavyoonekana kwenye link hii.

KOCHA WA YANGA NA MPISHI WA BAO LA COUTINHO JUZI - BIN ZUBEIRY
 
Mkuu sana MM...Mimi nina swali

Hivi ni kwa nini siku zote yanga ndio hua wanalalamikia uchawi? kwa hio wanalogwa wao tu?

Unajua ushirikina ni imani

Ukiwa na imani hiyo wewe ni mshirikina

Yanga ni washirikina?

Ushirikina ni janga siyo la Yanga pekee bali ni la Tanzania, Afrika na Dunia nzima kwa sababu ya uwepo wa shetani kila mahali. Ushirikina kwenye soka hauihusishi klabu ya Yanga tu bali hata vilabu vingine, hebu soma hapa:

'Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani.'

Source: Adhabu walizopewa Simba na Amissi Tambwe kwa uchawi na utovu wa nidhamu - TZA_MillardAyo

Tangu zama za kale Yanga imekuwa tageti kubwa la vitendo vya ushirikina. Kumbuka kuwa Yanga ndiyo klabu yenye wapinzani wengi hapa nchini na imekuwa mhanga mkubwa kila kukicha. Mimi namwamini Yesu wala siamini katika vitendo vya kishirikina. Ushahidi unaonesha wazi jinsi Yanga inavyowangiwa, tafadhali kong'oli mwenyewe hapa:

http://www.fikrapevu.com/imani-za-uchawi-zinavyoangamiza-soka-nini-kifanyike-kwa-sasa/
 

Mkuu MM.....Vitendo vinavyoashiria ushirikina ni nini?
Kwamba bodi ya ligi ilifanya hivyo haifanyi hili suala kuwa sahihi
Kwamba Ivo kuwa na taulo Golini ni ushirikina?
Kwamba kipa wa shaba kuwa na gloves golini ni ushirikina?
Kwamba unataka kutuaminisha timu zote Tanzania zinafanya ushirikina kwa Yanga tu?
Why Yanga ndi walogwe tuuuuu?
Eti kwa sababu ndio timu bora zaidi?
Mbona hatuioni ikifika popote pale kwenye soka la kimataifa?
Hata hao simba wanaologa si wangekuwa wanashinda mechi zote? Au na timu pinzani inakuwa imeloga zaidi?
Huu ni upuuzi ambao adhabu kali inatakiwa itolewe kwa wanaouendekeza....nao ni Yanga
 
Kuanzia leo TFF wawaruhusu Yanga kabla ya mechi yao yoyote wakague magoli na ikiwezekana uwanja mzima kisha wacheze mpira. Hizi imani zao zitakuja kutu cost kama nchi siku moja. Mark my words.
Siku ile wanacheza na Al Ahly Dida aliweka kitu vinavyoashiria ushirikina golini kwake.
Yanga acheni ushirikina chezeni mpira. Kwani huo ushirikiana unacheza namba ngapi uwanjani???
 

Attachments

  • 1420709868013.jpg
    35.5 KB · Views: 104
hizo pozi tu kukutoa mchezoni, pia ni burudani kama ngoma ya tokomile.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…