Ushindi kwa CCM ni lazima

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,302
Reaction score
9,810
Magufuri aongea kwa kumanisha ajaza watu kwa kila mkutano wake!!!
 

Attachments

  • 1440948185604.jpg
    42.1 KB · Views: 595
Mpasuko mkubwa umetokea ndani ya UKAWA...Heavy Duty wengine (Tundu Lissu, Prof Safari) wasusia uzinduzi baada ya kushtukia uhuni wa Team Lowassa..wiki ijayo Dr Slaa anarudisha kadi...hali ni tete
 
Unajua mi mwenzenu nikiangalia hadi Mda huu Magufuli yupo juu, huyu mzee Jana nmerudi mtaani watu wanamponda sana kuwa Jana.chochote na ni vijana wa kawaida tu wanasema hvyo, Magufuli anaongea straight na watu wanasema jamaa kaeleweka na wanakubali anaweza kufanya hvyo kwa jins alivyo katika kazi
 
Lumumba hoyeeeeeee! Mlitaka kila mtu awepo ??? Acha uzushi
 
Hivi CCM wana nadi Umasikini Zaidi? Ujinga Zaidi? Ulofa Zaidi? Ujangili Zaidi? Huduma Duni Zaidi katika Afya, Maji, elimu mawasiliano ama wana nadi kitu gani? ... UFISADI Zaidi ndo Ukombozi wa Watanzania ?....
 
Mpasuko mkubwa umetokea ndani ya UKAWA...Heavy Duty wengine (Tundu Lissu, Prof Safari) wasusia uzinduzi baada ya kushtukia uhuni wa Team Lowassa..wiki ijayo Dr Slaa anarudisha kadi...hali ni tete

Haha hahahahaha hahahahaha, posho zishaongezwa tayariii CCM oyeeeeeeeeeereeeeeeeeeeeeer CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Hiki kitengo cha propaganda sijui kwanini walikifuta. Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee oyeeeeeeeee
 
ukweli ni kwamba mbowe ameua chama ametusaliti wazalendo wapigania mageuzi ya kweli kwa tamaa yake ya hela,na hii ime anza kuonyesha madhara kwenye kampeni hasa baada ya uzinduzi wa a.c.t
 
ukweli ni kwamba mbowe ameua chama ametusaliti wazalendo wapigania mageuzi ya kweli kwa tamaa yake ya hela,na hii ime anza kuonyesha madhara kwenye kampeni hasa baada ya uzinduzi wa a.c.t
Ukiwaona watu wamehudhuria kwenye kampeni siyo wote ni wafuasi bali wasikiliza sera ili waweze kuzipima.
Jambo lingine, uwe na ushahidi juu ya kuuzwa kwa chama na kama ulikuwa dalali au uliyetaka kununua bei ikakushinda useme hapa. Epuka ku-copy kama kasuku.
 
Mimi nilikuwa muunimi mzuri sana wa Chadema na nilikuwa nawaona km hamnazo waliokuwa wanashabikia ccm, lakini baada ya Lowassa kutua chadema na Dr. Magufuli kuingia katika kinyang'anyiro cha Urais, niliamua kuhamia ccm.
Mimi naangalia uwezo wa mtu na sio ushabiki na ninawaomba Watanzania wenzangu waelewe hivyo.
Tusipende kufuata upepo wa wanasiasa, tuwe makini katika kumchagua mtu alie muadilifu na mtendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…