Niliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy for ur galfren gift akanisms kua amenunua vitu vifuatavyo hp laptop, ipod, blackberry, iPhone phone, digital camera, 24kg gold cheni, na pete ya gold above all kaniwekea usd 4500 ndani ya laptop na katuma kwa kampun inaitwa united link cargo kua wakifikisha watanipigia simu nilishtuka sana mtu kakujua for 2 weeks nilichofanya ni kumpa fake name coz sii hili natumia facebook ninaogopa sana zaid nimemunfriend
Hapo nilipobold pamenikereketa na kunifanya nisiamini kiliachoandikwa humu ...
Kwanza huyo kijana mwenyewe alienda na mom wake na kushawishiwa na mama kununua zawadi kwa girlfriend wake, maana yake yeye anamtegemea mama, na kama ni hivyo sijui kama mama angeweza kufanya shopping ya gharama hivyo na ghafla hivyo, si utaratibu wa wazungu!
Pili ni aina ya zawadi, Nakubaliana na kabalizuka kuwa cheni ya 24kg si kitu cha kawaida, na uzito wake ni karibu sawa na uzito wa ndoo ya maji ya lita 20! Sijawahi kusikia cheni yenye uzito huo. Na kama itanunuliwa, naamini gharama yake ni zaidi ya milioni 30 ambazo mtu hawezi kutoa ghafla. Kinachonishangaza zaidi pia ni kununuliwa ipod, blackberry, iPhone phone kwa wakati mmoja maana hizi zote utendaji wake wa kazi unafanana!
Nina mashaka ....
jaman mjifunze kudanganya,tapeli weweNiliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy for ur galfren gift akanisms kua amenunua vitu vifuatavyo hp laptop, ipod, blackberry, iPhone phone, digital camera, 24kg gold cheni, na pete ya gold above all kaniwekea usd 4500 ndani ya laptop na katuma kwa kampun inaitwa united link cargo kua wakifikisha watanipigia simu nilishtuka sana mtu kakujua for 2 weeks nilichofanya ni kumpa fake name coz sii hili natumia facebook ninaogopa sana zaid nimemunfriend
Muulize mwenzio yule mwanabongo fleva aliyepata mtoto majuz kule ar akwambie yaliyomkuta kutokana na kiherehere kama cha kwako.