Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 679
- 1,083
Hahahahaha kwamba kapelelezwa Hadi mwisho Anataka aingizwe mkenge😂Kuwa makini Kijana.
MJINI SHULE!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mwambie ukweli nimekusahau,muulize mlikutana wapi?🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶🎶Hii ilishawah kunitokea mwamba aliwahi kunichangamkia had nisijue cha kufanya oyah za siku, umeadimika dah aseeh mwanangu karbu tulikaa tukaongea km dk 15 hv sijampata tu bado yan naondok bdo sikumjua huwezi amini ndio mazoea yalianzia hpo mm na yeye na sijawah muulza aliniona wap nahisi ataona ninanata.
Mzee nitaanza vp sasa jina lake lenyewe niliskia kwa mtu anaita Gabriel ndio na mm nikapitia humohumo.Mwambie ukweli nimekusahau,muulize mlikutana wapi?🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶🎶
Unamjua uyo mzeeHiyo tabia anayo mzee mmoja muuza juice pale Karume....zee linakuchangamkia sana kumbe mwisho unaingizwa mkenge
Hivi hii dunia iliyojaa kila aina ya vimbwanga mtu utachangamkiwaje na mtu usiyemjua halafu wewe unakenua meno. Jambo la kwanza nadhani ni kumuuliza amekuwaje huku ukimwangalia kwa u-serious. Ukiona anapiga piga chenga unaondoka.Leo nimekutana na kijana mmoja kanichangamkia kinoma noma ananijua vyema hadi anaulizia watu wangu wa karibu lakini kila nikijaribu kumkumbuka nafeli
Imebidi nijichekeshe tu mpaka sasa sijamjua kabisa na kumuuliza nimeona jau
Ishawahi kukukuta . Ulitokaje hapo ?