Sossy Mwasi
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 190
- 23
Nilijiuliza sana ni kwann wahindi wao ni ruksa kuoa binamu zao.Lakin baadae nikajiuliza pia kuna maandiko fulani yanatuonesha kua mwanamke alitoka kwene ubavu wa mwanamume(mambo ya Adam na Eva).Hapo ndipo nilipogundua kua to some extent wako sahihi na ndio maana familia nying za wahindi zinadumu na kujengeka imara plus kua na hali nzuri ya kifamilia(chunguza).Na hyo ni kwasababu ukoo hauendi mbali sana hvyo kila mmoja humjua mwenzie vzur sana na kuwa na uchungu na mali zilizopo na heshima katika ndoa..Mimi naona suluhisho la ndoa kuvunjikavunjika na kutoimarika kimapato n.k liwe hilo.Watu Tuoe Tu Binamu Zetu.
Nadhani ungeongelea zaidi athari za kibaolojia.
Ndugu kuzaliana haimaniishi watakuwa na uchungu wa mali.
Huu ni utamaduni wa jamii ya watu fulani kuweza kuendeleza mali ziliozoachwa na waliozianzisha.
Ulishawahi kufika India?
Nilijiuliza sana ni kwann wahindi wao ni ruksa kuoa binamu zao.Lakin baadae nikajiuliza pia kuna maandiko fulani yanatuonesha kua mwanamke alitoka kwene ubavu wa mwanamume(mambo ya Adam na Eva).Hapo ndipo nilipogundua kua to some extent wako sahihi na ndio maana familia nying za wahindi zinadumu na kujengeka imara plus kua na hali nzuri ya kifamilia(chunguza).Na hyo ni kwasababu ukoo hauendi mbali sana hvyo kila mmoja humjua mwenzie vzur sana na kuwa na uchungu na mali zilizopo na heshima katika ndoa..Mimi naona suluhisho la ndoa kuvunjikavunjika na kutoimarika kimapato n.k liwe hilo.Watu Tuoe Tu Binamu Zetu.
Perfect mkuu..mimi nimeamua kumuoa ndugu yangu kuepuka kero