Ushauri

ucoolboy

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
90
Reaction score
7
Wana jamii forum salaam.

mimi ni moja kati ya wadau wakubwa wa elimu naombeni ushauri wenu kwa hili....

Ninae ndugu yangu mmoja ni mwalimu wa sekondari moja manispaa ya Arusha, mwaka 2014 alipata ruhusa kwenda masomoni chuo kikuu ktk mchepuo wa science in mathematics bahati mbaya akiwa tayali keahapata ruhusa na tayali keshaondoka kazini yupo chuo hakuweza kupata mkopo hata senti moja na hiyo facult tuition fee ni 1,200,000 mbaya zaidi yeye anasomesha ndugu zake wawili chuo cha afya (certificate) huko dar es salaam, mambo yakawa magumu kwake akaamua kukacha akaaply upya mwaka huu kapata education(mathematics) huko Iringa university lkn hiyo facult yenyewe mkopo ni non priolity na tuition fee hapo ni 1,950,000, hapo alipo kila saa kashika tama anahisi Mungu kamtupa, nimemuuliza nini future yake kama atakosa loan kasema ataenda hivohivo chuo atapiga saundi asome kwakulipa kidogokidogo kutoka posho yake ya mwezi.

jamani naombeni ushauri nimahauri nini afanye istoshe keshapoteza mwaka mmoja na huo mwaka atafidiaje huko kazini atajiteteaje??? barikiwa sana.
by Tesha pauL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…