ushauri

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Habari zenu jaman
Sikukuu ilienda poa sana kwa upande wangu vipi kwenu nyie?
Jus ni ushauri tu jaman,,
Maisha yashakuwa mafupi haya kila siku watu mnalalamika kutendwa sijui kufanywaje mnalia mwishowe mumkufuru MUNGU
kama mtu akupend au upo katikauhusiano hausomeki someki unahisi hupendwi yan kimbia achane nae tupa kule kama n wanawake /wanaume wapo wengi tu mbona mwishowe uje upate kisukari ufe mapema haina maana yani
 
Waliosema mapenzi yanatia upofu hawakukosea umukagame. Watu wapo kwenye mahusiano angali wakiteseka si kwa sababu hawaoni au hawajui.. wanajaribu kubishana na uhalisia kila leo wakitumai kesho mambo huenda yakabadilika... na kesho bado haifiki. akija kuamua kutoka, tayari ameshateseka vya kutosha. Kikubwa tuelewe mwanamke/mwanaume ulie naye, ni mwanadamu kama mwingine tu hivyo usiweke matarajio meengi... mwishowe utaishia tu kuumia. Punguzeni matarajio na wengine wetu muache kuamini ngono ndio silaha ya kulinda mahusiano.

 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anayajua hayo, tatizo ni kufanya kwa vitendo. Mapenzi yasikie tu kwa mwenzio usiombe upende.....yani blue unaiona njano.
 
Siku ukihitaji mchumba mchukue heri lee you look alike.....
 
Hahahaa... Shostito hujamaliza ile hela ya sikukuu niliyokutumia??? :becky: :becky:
Yani ahsante kwa kuifanya pasaka yangu izidi kuwa njema
bado nnafungu la kutosha sijui nikalinywe na nani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…