mwenzenu ninagarden(nywele) mpaka zinaungana na nywele za chini ....dah napatashida sana nikiyanyoa naona kama yatazidi ivi kibaya zaidi huyu demu niliye naye hapendi kabisa hili garden nipo njia panda sijui nifanyaje jaman
Dah! haloo.. sasa wewe ulitaka sis tuje tukunyoe ama?? kama mpenzi wako hataki na wew unampenda nyoa.. penginge sio garden love ni pori kabisa si tutajuaje??
pole ila kuna wanawakw wengine wanazipenda.......kuwa na msimamo mwambie hvyo ndivyo ulivyo kama hawezi basi atafute ambaye hana.....
au kama unaweza zipunguze mara kwa mara na mkasi
pole ila kuna wanawakw wengine wanazipenda.......kuwa na msimamo mwambie hvyo ndivyo ulivyo kama hawezi basi atafute ambaye hana.....
au kama unaweza zipunguze mara kwa mara na mkasi
Dah! haloo.. sasa wewe
ulitaka sis tuje tukunyoe ama?? kama mpenzi wako hataki na wew unampenda
nyoa.. penginge sio garden love ni pori kabisa si tutajuaje??