habari zenu,nilikuw na boyfriend ambaye nilimpend sana lakin sikujua kam yey ananipenda kwasababu alikuwa ananikataa san mpak mwishowe nikachok nikaamua kuw na mwanaum mwingine ambay tumedum mwak mmoja,yey anaishi nje na niliamin ananipenda na kwasasa na mimba yake yenye miezi mitatu,hivi karibuni nimegundua ana mke na wanawatoto wa tano na nilipomuuliz aliniambia ni kwel na hatawez kunioa ila atanilea mim na mtoto.,.mpenzi wa zaman karud kwa kasi anaomb msamaha turudiane,nimemweleza ukwel na akanion mim mbay san na ananishaur nimwache baba mtoto niwe naye yey atamlea mtoto na tutaoana,nifanyaj?
Sorry ila wakati mwingine wadada huwa mnajitoa ufahamu...halafu mnanikeraaaa...kuwa mwanamke sio kuonewa onewa tu na wanaume.
Kwa hiyo mwanaume akitoa tu ahadi ya ndoa ndio umchanulie miguu aweke mimba huko...
Hebu kemea hili douta wala usimung'unye maneno, wanaume wakware wataendelea kuwaliza hadi lini???
habari zenu,nilikuw na boyfriend ambaye nilimpend sana lakin sikujua kam yey ananipenda kwasababu alikuwa ananikataa san mpak mwishowe nikachok nikaamua kuw na mwanaum mwingine ambay tumedum mwak mmoja,yey anaishi nje na niliamin ananipenda na kwasasa na mimba yake yenye miezi mitatu,hivi karibuni nimegundua ana mke na wanawatoto wa tano na nilipomuuliz aliniambia ni kwel na hatawez kunioa ila atanilea mim na mtoto.,.mpenzi wa zaman karud kwa kasi anaomb msamaha turudiane,nimemweleza ukwel na akanion mim mbay san na ananishaur nimwache baba mtoto niwe naye yey atamlea mtoto na tutaoana,nifanyaj?
Hivi binti, wakati unapata hiyo mimba na mwanaume ambaye hata hamjaoana kuna mtu yoyote hapa JF aliyekushauri umvulie chupi huyo bwana?
Waungwana siku zote husema "Mchuma janga hula na wa kwao", sidhani kama hiyo mimba uliipata tu kwa bahati mbaya...
Hapo ndo anaponishangaza. Kuwa mwanzoni hakumuona wa maana kwa kuwa hakuwa anamhonga so kwake akatafsiri, 'hakuonesha kunipenda' wanawake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! utawaweza basi...
yeye mwenyewe hajipendiWote wawili hawakupendi,
Jitambue