Nenda bado hujachelewa kabisaaMimi had Leo sijaend chuo na usajir mwisho tareh 11 na mkopo ndo kwanza nimeona jina LA mkopo Leo.....sijui watanikatalia kunisajir....naomben msaada
Asante.....ila nawasiwasiNenda bado hujachelewa kabisaa
Kama huna uwezo wa kusoma mwaka huu kwa gharama binafsi, nenda chuoni uandike barua ya kusogeza mwaka hadi 2019(au pale utapokua sawa kiuchumi, max. 2 yrs) ili kulinda nafasi yakoHusika na mada hapo juu,naombeni ushauri juu ya masuala ya chuo
Nimechaguliwa kujiunga chuo cha NIT na usajili unaishia tarehe 11 lakini sijafanikiwa kupata mkopo . je nifanye nini kuinusuru nafasi yangu na walitangaza beyond hiyo tarehe watafanya cancellation kwa usajili
Hiyo tarehe huwa ni kwa ajili ya mass registration ila muda unasogezwa kwa baadhi ya ambao hawakuweza fika kutokana na sababu mbalimbaliMimi had Leo sijaend chuo na usajir mwisho tareh 11 na mkopo ndo kwanza nimeona jina LA mkopo Leo.....sijui watanikatalia kunisajir....naomben msaada