Ushauri

Kwanza Kabisa Nenda A-level.. kama Private Candidate Usirudie O-level au Kama utarudia O-level(incase kwenye Job wakataka maybe uwe na C+ ya Geo au Chem) Rudia Huku unafanya PC Advance..Mkuu kwa Kuwasikia Waliosoma CBG Wanadai ni comb Nyepesi (Naweka akiba ya maneno maana nilisoma PCM), kwa maana hiyo kulingana na uwezo wako angalia usome miaka miwili au mwaka mmoja but with respect to matokeo yako ya O-level soma miaka miwili!

Kila la Kheri!
 
Bo nenda kaapply certificate ya vyuo vya afya.. kama vp nenda SUA
 
kasome advance hukun ukiresit form four upate credit ya tatu . inawezekana usiogope
 
Mjomba apo nenda tu private na uwez fany mtihan km candenate
Must uwe pc.iv history hukufanya paper au ukiona noma risiti tu ila utakuw unapoteza mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…