Ushauri

Salummjr

Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
25
Reaction score
6
Matokeo yangu ya (CSEE) yapo ivi
BIO=C
CHEMI=D
GEO=D
ENG=C
ISLAMIC=C
CIVICS=D
KISW=D
PHY=F
MATH=F
Div: 3 point 25
Natak kwenda advance kwa combination ya CBG lakin nimeambiwa siwez kufany mtihan wa mwisho nikiwa kam candidates. Naomba ushauri wenu nirepeat tena form 4 au niend advance nifanye kam pc.ushauri wenu plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kwenda advance level.
iyo islamic/ Bible knowladge haitambuliki
Ila kwa vile una C ya islamic unaweza kuwa Sheikh wa mkoa
 
Nimesoma na kuuelewa uzi wako mkuu. Kwanza kabla ya yote hongera kwa kumaliza kidato cha nne.Upo kwenye list ya KKK.
Kuhusu kwenda advance sio shida.Ila tatizo hujatimiza kigezo cha kufanya mtihani wa ACSEE ambacho ni kuwa na credit (A,B,C) tatu ambazo hazihusishi masomo ya ziada na dini. Hapo wewe una credit mbili tu (BIO & ENG)
Nakushauri re-seat upate hizo credit. Unaweza kufanya hivyo huku unaendelea na advance though.
 
Huwezi kwenda advance level.
iyo islamic/ Bible knowladge haitambuliki
Ila kwa vile una C ya islamic unaweza kuwa Sheikh wa mkoa
Mkuu kaomba ushauri kwa wanaJF. Tumpe support, asije kukata tamaa wakati kuna namna
 
Asante mkuu ila list ya KKK ndo nin mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri apply vyuo vya afya kwa ngaz ya Chet unaweza pata kwa private lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…