Hajafanya investment yoyote ile,anaofanya nao kazi walio chini yake wana maisha mazuri tu na maendeleo wanayoKatika miaka yake hiyo minne ndani ya ajira kuna kitu chochote cha maana ambacho amekifanya cha maendeleo???
Huyo kijana anaonekana bado hajajitambua sawasawa...
Huyo ni mtoto wa kiume na sio mwanaume!
aiseee kuna rafiki yangu tulitafautiana sababu ya tabii hii ya kuwa hom dependant, yan hata vocha basi simu nyumbani, tulimaliza chuo miaka 2 anafanya kazi yupo kwao, nikaona huyu kiazi......
wanadeka kweli, sijui ni last born, sijui kabila....
hebu ni pm kabila la jamaa nione isihekuwa kabila moja na huyu ninae muongelea.... sitak kuanzisha ugomvi hapa
asante kwa ushauri,notedKunatofauti kubwa kati ya mvulana na mwanaume. Kukaaa home miaka yote hiyo bila sababu ya msingi ni uoga wa maisha. Ushauri wangu tafuta wa type yako.... Ndoa ni safari ndefu. Huyo mvulana achana naye maana inaonekana ana mind set za form six, na isitoshe hata kitanda hana
Dada hata hivyo mm naona unachelewa Huo ni mzigo kwako kwa maisha ya sasa yanaitaji ambae ni mpambanaji hapo anakazi je ikitokea kasimamishwa ghafla? Automatically atarudi kunyonya kwa mama yake achiana nae bado ananuka maziwa huyo Sio size yako hata kumuuliza usimuulize.
ntaongea naye ajue msimamo wangu,na ikitokea tofauti kidogo anasema namtaftia sababu,so nataka ajue sababu kabisaDada hata hivyo mm naona unachelewa Huo ni mzigo kwako kwa maisha ya sasa yanaitaji ambae ni mpambanaji hapo anakazi je ikitokea kasimamishwa ghafla? Automatically atarudi kunyonya kwa mama yake achana nae bado ananuka maziwa huyo Sio size yako hata kumuuliza usimuulize.