Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Skiliza video utajua kama ni uzushi au laHyo habari ni uzushi
Ina maana we demu wako unamvisha kanzu au dera?!Naomba iwe kweli! ili wahusika washike adabu yao.
Kimini anavaa tunapokuwa wote home, tukitoka lazima avaae nguo ya heshima.Ina maana we demu wako unamvisha kanzu au dera?!
kupenda kwenu kuonyesha mashepu ndio maana tunawala tigo hata kilazima.Niaje wadau
Kwa jinsi navyowapenda sitaki kuwapoteza
Mchezo up hivi... Nipashe ya Leo imeandika wavaa vimini Dar na wanyoa viduku wote jelaa kuanzia tar 17 Jan 2018 jijini Dar
Sa sijui wengine tutaonyeshaje mashepu na maguu yetu...
kiru jamaan tutafika kweli mbona 2025 mbalii?!
Shikamoo Namba!
haaaa haaa haaa penny natamani siku nikuone
Very good. Mke wako ni kwa faida yako tu. Tunahitaji wanaume wenye maadili kama yakoKimini anavaa tunapokuwa wote home, tukitoka lazima avaae nguo ya heshima.