Nawashauri hawa majaji wajaribu kuwa fair kidogo kwa hawa washiriki ,binafsi nachukizwa sana na kumkatisha mshirika tamaa wakati akiwa ameimba mstari mmoja tuu wa walochotaka kuimba
Kiukweli kwangu mm binafsi naona haipendez kabisa kwan mnatia watu uoga na kuwakatisha tamaa
Salama ,Madam Rita ,Ommy& Master jay !!! Try to be humble!! Otherwise mtaboa
Kwanza hao BSS mimi sioni wanacho fanya cha maaana bali kutafuta ugali wao ili waendelee kuishi mjini.Ni staa gani wa muziki hapa bongo ambaye wamemuibua tangu waanze huo uhuni wao?
Kwanza hao BSS mimi sioni wanacho fanya cha maaana bali kutafuta ugali wao ili waendelee kuishi mjini.Ni staa gani wa muziki hapa bongo ambaye wamemuibua tangu waanze huo uhuni wao?
Amini
Amini
Amini nawaambia.....enyi kizazi cha bingofleva na Amapiano muda hauko mbali ipo siku kuna jaji atakuja kupasuliwa vibaya sana, tunzeni huu uzi wangu
"Umeuharibu sana huo wimbo,,, alaf nilishakupa NO toka hapo nje" hayo manen ya hivy alitoa yule jamaa mwenye rasta nahisi kwa harmonize,,, wale jamaa wanakatisha sana tamaa alaf unaona kabis wanamkubali mtu kwa favor hadharani hovyo kabis BSS