Anatafuta sababu ya kufukuzwa chama ili sasa apate public sympathy kama "mkombozi wa watu". Ni strategy nzuri lakini alipaswa apambanie katiba mpya na tume huru ili hata akihama chama awe na uhakika wa kurudi bungeni or better kushinda urais.
Cha ajabu sasa hajaandaa mazingira ya kushindana na Samia akiwa nje ya CCM, yatamkuta kama ya Membe tu. So ushauri ni kwamba angekaa kimya tu adhabu iishe kama alivyofanya Gwajima au zitto. Zaidi angeweza zunguka tu mikoani afanye mikutano mikubwa kueleza kilichotokea, that's all.
Ila wanaomshauri apambane bila malengo wanampoteza tu.