Ushauri wakuu

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,901
Reaction score
9,824
Habari.
Muda huu ajali imetokea maeneo ya uyole njia panda stendi, watu kazaa wamefariki hapo hapo na majeruhi.

Updates.
Ajali imehusisha lori aina ya tipa, daladala aina ya Rosa na Toyota kirikuu.

Hadi sasa watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine wawili inasemekana wamefariki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli Mo dewj kawachanganya wengi
 
Daaaah aisee afu nimepita hapo mda si mrefu kabla ya ajali
 
Gari moja wapo iliyopata ajali, ili lala tumeiinua kabla traffic hawana hawajafika wakati wa uokoaji.
 
Nyingi tumeshirikiana kupeleka majeruhi na miili hospital na tayari tumeiinua gari kwa nguvu zetu wenyewe.
Mna haki ya kupongezwa, subr kuna wanywa uji humu watakimbilia kuomba picha kabla ya yote
 
Sasa hyo title ni umechanganyikiwa na ajali au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…