Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
huo ni uongo uliokomaa na hauna mashiko.ebu fikir kwenye bar za wachaga karibu zote nyama ya nguruwe inauzwa na nguruwe nyama yake imejaa mafuta tupu sasa kama ingekuwa mafuta ya nguruwe ni dawa nafikiri bar za wachaga zingeshafilisika maana wateja wao wangeacha kunywa pombe. aliyekuambia kaongea tu.
Mkuu jarib ili upate matokeo utufahamishe na sisi tuprove...tafadhali
Mnunuli pombe alafu weka maziwa ya mama kidogo asijue akinywa atatapika akisikia arufuyapombe anakimbia mwenyewe ndo dawa tosha
huo ni uongo uliokomaa na hauna mashiko.ebu fikir kwenye bar za wachaga karibu zote nyama ya nguruwe inauzwa na nguruwe nyama yake imejaa mafuta tupu sasa kama ingekuwa mafuta ya nguruwe ni dawa nafikiri bar za wachaga zingeshafilisika maana wateja wao wangeacha kunywa pombe. aliyekuambia kaongea tu.
Asante kwa feedback mkuu..kumbe huwa ni maneno tu ya watuNi kweli nilimuwekea lakini nadhani haiukusaidia
Asante kwa feedback mkuu..kumbe huwa ni maneno tu ya watu
mnyweshe mafuta ya simba dume kijiko kimoja chakula.
Ulishawai jaribu@miss chagga