Ushauri wako ni muhimu

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
Habar wana JF?

Mim ni kijana m tz nimetokea kumpenda dada mmoja yeye ameajiriwa katika hotel flan maarufu hapa jijin. Hv sasa nina mpango wa kununua vitu vya ndan kama vile KITANDA,GODORO na vitu vyote vya ndan. Nimejaribu kumgusia mpnz wng huyu juu ya malengo hayo alichoniambia yeye tushirikiane kununua hizo saman zote. Kumbuka tulishawah kukutana kimwl mara nyng tu.

TATIZO:linakuja wap sasa yy anavyosisitizia hili swala hatak mm nikanunua hvy vitu peke yangu,pasipokuwa na ushirikiano wake.
Je n kwl ana nia ya dhat ya kuwa na mm??
Msaada wana JF....
 
Sijaelewa......
Mshirikiane kwa maana ya yeye kuchangia au kuchagua tu?
 
Sijaelewa......
Mshirikiane kwa maana ya yeye kuchangia pesa au kuchagua tu akipendacho?
 
Si vibaya kama uko tayari kugawana hivyo vitu pindi mambo yasipoenda vizuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dharau nyingine huwa ni kujitafutia tu mwenyewe japo sasa yaweza onekana kama ni kusaidiana! Nunua mwenyewe bwana mdogo, yaani unanunua godoro hadi unaenda kumshirikisha? Kuna vitu wewe mwanaume lazima uwe makini navyo otherwise ata kununua lock ya mlango utataka kwenda kumshirikisha kwa gear ya upendo. baadae japo anakaa kwake kodi yako iishe mbio unaenda kumwambia ili mchangie gharama eti cost sharing au kujali??????????

Upendo Sio Hisia, Ni Uamuzi.
 

Thanks mkuu.
 
Changeni tu mkanunue c ndo mapenzi yenyewe hayo mdogo wangu ! But Angalizo: tegemea kugawana vi2 siku mkiachana!
 

22 years old? Duh pole sana mie sina ushauri nimeshangaa tu, asante
 
hata mahari wana force kuchanga na wanaume siku hizi...

madai yao hawataki kunyanyaswa
 
kila mtu anunue vya kwake.
 
Watu hufanya hivi! Kama mnapendana Sana unamshirikisha kwa kwenda kuchagua anachokipenda na wewe unatoa pesa yako!! Usiruhusu atumie pesa yake ni mapema Sana. Inavoonyesha hata wewe bado humuamini sasa ni bora jukumu hilo la kununua liwe lako!! Usije aibika baadae!!
 
yaani mpenzi tu hata ndoa bado aanze kuchangia godoro na kitanda loh siku mkiachana inakuwaje ktk kugawana,tumia maarifa yako kujijenga usimtegemee girlfriend ambaye hata kwenu hajulikani khaa mwambie aje achukue zawadi yake.:smile-big:
 

Angalizo lingine..hatakama hatoi pesa yake kuchangia pia usimpe pesa yako akanunue ataleta risiti ya jina lake na mwishi wa siku mwenye risiti au hata kadi ya manunuzi huwa mmiliki halali wa bidhaa husika...na hasa vitu kama viwanja na magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…