Ushauri alioutoa huyo mchumbaako ni wa muhimu sana na hakuna pa kuukwepea.
Mtakapooana kwa vyovyote mtahitaji watoto and so kupima ni lazima.
Kwa hiyo kubali maombi ya mchumbao, kapimeni mjue afya zenu, ndivyo mnaweza kupanga maisha yenu ya baadae
Ondoa hofu, beba ujasiri, kapate ushauri nasaha, kapime, jua sero status yako, jua umeambukizwa au la, panga maisha baada ya kupata majibu.
This is the only solution and advice i can give, and is the best solution.