Yaani miaka 4 unamkula tu bila hata kumtambulisha kwenu!
Acha tu wakusaidie kukugongea.
Miaka 4 unataka ugundue nini?
Au vyuma?
Kama uko njema muoe tu mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Beother kaka, kwa mara nyingine narudi kukushauri japo ushauri wangu unaweza usiwe very Ethically and appropriate kwako au kwake,Kuna siku huku nilikuja kuomba ushauri nifanye nn baada ya kublockiwa na mtu niliyekuwa naye kwenye mapenz! Wengi walinishaur usimtafte nam sikumtafta tena!
Sas juzi usiku baada y kupita wki moja
Niliona text imetumwa helow shem! Nikajib helo tu nan! Alinambia shemej yako fulan! Nikaamwambia ok vzr! Baada ya maongz ya muda mref alinambia kuna kitu unanificha kuhus mpenz wako ! Nikamwambia hapan hamna kitu mbona yupo poa! Lakn alifunguka na kunieleza aliyoambiwa na mpnz hyo! Nikambia ok aliniblcok muache hivovo! Akanmbia hapana mmetoka mbal samehanen! Nilijib mm sina shida naye! Baada! Baada ya siku tat mbel yule dem wang alinitext akaanza kujieleza kuwa mm ndo namakosa lakn alikuwa ananimx san hvo tuendelee na mapenz na hatorudia tena maan nilimkwaza ndo maana akaon suluhisho ni hlo! Ila pia yey anangangania nimpeleke nyumban nam sitak kwa sas! Pia pamoja na hayo analalamika nimemkula miaka minne hajua nyumban ndo maana anapaniki akiona mm mzinguaji! Kwa mara nyingine wanajf hyu mtu nimpokee au nifanyaje!@@@
Sent from my iPhone using JamiiForums
Well said brooo kwa mtazamo wangu kaona aliyekuwa naye aeleweki kaona arudie matapishi yake aliyoyatapika kuwa makinBeother kaka, kwa mara nyingine narudi kukushauri japo ushauri wangu unaweza usiwe very Ethically and appropriate kwako au kwake,
Nduguyangu, mtanzania mwenzangu, kijana mwenzangu, hebu tukaze roho tulijenge taifa kwa kufanya kazi ili kuwa na famili zetu zenye misingi mizuri ya baadae kiuchumi,
Sikuhizi naona watu tunakosa the true definition of the term love, mapenzi yanageuzwa kuwa area of interests/gains
Imagine, mtu anapanic from no where anakublock then anakupa minor reason eti kisa hujamtambulisha kwenu, na wakati hilo lilikua ni swala dogo sana la kukaa mka negotiate kipi mfanye, mpange n.k
Kwanza ukimpokea huyo mi naomba nikuhurumietu, huenda kapigwa chini then anaanza kuleta visababu visivyo na mashiko, kiufupi huyo ashaonesha weakness tayari ya kutokua na busara kwa vitu vidogo, alaf pia huyo msaliti yan kiufupi
Hivyo basi wewe kama mwanaume, utaona kipi cha kuanya iwapo utataka kumpokea kisa mmetoka mbali nisawatu maana mda mwingine mapenzi ni very unconditional na inakua ngum kushaurika, ila pia iwpo utaona nivyema kumkaushia ni sawatu uchaguzi ni wako eidha kusuka au kunyoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly,Well said brooo kwa mtazamo wangu kaona aliyekuwa naye aeleweki kaona arudie matapishi yake aliyoyatapika kuwa makin
Sent using Jamii Forums mobile app