- Thread starter
- #21
Haaa...haaaa...ni mfuasi wa chama Dola.Uchaguzi Mkuu uliopita wa mwaka 2015 Kura yake ana uhakika aliipeleka sehemu iliyoshinda au ile iliyoshindwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa...haaaa...ni mfuasi wa chama Dola.Uchaguzi Mkuu uliopita wa mwaka 2015 Kura yake ana uhakika aliipeleka sehemu iliyoshinda au ile iliyoshindwa?
Kwa bahati amefanya kazi miaka yote ndani ya mkoa mmoja.Kama alifanya kazi mikoa mbalimbali, inabidi afuatilie note kwa afisa utumishi na hatimae wizara husika. Usumbufu huo upo sana, miaka nenda miaka rudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu..Atoe copy barua zake zote na atengeneze file lake na aendenalo kunakotakiwa litapatikana tu na afanye mapema kuanzia sasa! asilale....
Hahahaha hii nzito kumesa itafikia hatua atamtaja aliye mpa kura kunusuru kupotea kwa kiinua mgongo chakeUchaguzi Mkuu uliopita wa mwaka 2015 Kura yake ana uhakika aliipeleka sehemu iliyoshinda au ile iliyoshindwa?
Ahsante Mkuu. Kwa maelezo yake inadai vielelezo anavyo.Aweke standby barua ya kuajiriwa,barua ya kuthibitishwa kazini,pamoja na salary slips zake bila kusahau kitambulisho cha kazi,halafu aendelee kuwavutia pumzi,ni watu wanaotaka kumtingishia kiberiti tu,wakishagundua ni mtu makini wa kutunza kumbukumbu watalitoa tu hilo faili.....hakunaga kitu kama hicho cha "faili hatulioni",hata kama "hawalioni" ukiwa na documents zako muhimu kama hizo lazima kuwe na "way foward".
Heeeee PSPF inahusika vipi na file lake huko kazini kwake?Sio majitu ya PSPF hayo?
Basi hapo mchezo umekwisha mkuu,mambo yakianza kuchukua mkondo litajimaliza tu lenyewe tena kwa usalama,wanaweza kumchelewesha kidogo lakini haki haiwezi kupotea aslani.