Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,743
- 3,319
MwanakuliFIND mwanakuliGET [emoji23][emoji23][emoji23] mwache aendee, hata vitabu vya Mungu vinasema kuna jehanamu ila watu ndio wanakimbilia huko!We huoni sure boya analilia kwenda hapo
Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mamboKusinya kataba na TOPOLO ni ujinga, ni Bora ukose tuu timu ya kucheza! Cc Shadeeya
Nyani fc hamna akili hata kidogoTako moko fc buana.
upo sahihi mkuuSuala la Yondani na Juma Abdul na hata Tshishimbi mbona lipo wazi sana ni kipofu tu ndio anaweza asione. Kiufupi ni kuwa kwa uongozi wa sasa wa Yanga hao wachezaji sio kipaumbele tena wabaki au waende kwao sawa tu. Ni kama uongozi ulikuwa umeshajiandaa muda mrefu kuanza msimu mpya bila wao lakini watu wengi na hata wachezaji wenyewe hawakuliona hilo katika jicho la tatu. Waswahili wanasema akufukuzaye hakwambii toka bali utaona tu mambo yanaanza kubadilika.
Hapo shida ipo zaidi kwa Tshishimbi na Yondani kwani Juma Abdul bado anaweza kucheza soka la kiushindani kwa zaidi hata ya miaka miwili ijayo tena hata kwenye hivi vilabu vikubwa Simba na Azam hata akaitwa timu ya Taifa. Kwa Yondani yeye umri ni tatizo labda ajiunge na hizi timu za kawaida za ligi kuu amalizie soka lake. Ila Tshishimbi yale majeruhi yake ya mara kwa mara nayo ni tatizo kupata timu kubwa.
Vinginevyo wasalimu amri wakasaini tu hiyo mikataba waliyopewa na Uongozi.
Alijua akiachwa Yanga ataenda Simba, hivo kuumia kwake ni kutokuonekana dalili za kwenda SimbA.Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mambo
Labda Nikwambie tu katika vilabu vinavyootwa sana na wachezaji hapa nchini basi Timu ya Wananchi nayo ni moja wapo na ndio sababu hata Tshishimbi alipobeep na sisi kumpigia mwisho wa siku akabaki kutoa kauli za huruma tu huku dhahiri akionyesha kaumia kuachwa na Wananchi..
Hongera mkuu, sema sasa sijui ka atakuelewa.Mleta thread unachanganya mambo, kuna contract extension kwa mchezaji ambaye mkataba wake uko ndani ya muda.
Kwa mchezaji ambaye mkataba umeisha, huyo mchezaji yuko free, anatakiwa kusign mkataba mpya.
Wenzetu wana utaratibu wao, kuna kitu kinaitwa signing bonus. Nafikiri hii ndiyo hiyo ambayo Bongo tunaitumia.
Na kwa timu za wenzetu unaweza usipewe hiyo lakini ikaingizwa kwenye mshahara, na hapa timu inafanya consideration kwamba ilipata nafuu kwenye gharama ya usajili, hivyo inamlipa mchezaji kwa njia ya mshahara mnono.
point. shukrani mzeeila kama jamaa wamewapa kiasi flani kinachoridhisha chukueni msinye kataba,vinginevyo mkatafute changamoto sehemu nyingine,,,mnachohitaji sio haki ni favor kama ukibaki kwa timu ile ile,,,ila kama mkihama huko mnapokwenda kama wachezaji wapya signing fee inakua haki yenu,,,kwa contract extension sio lazima kupewa ndio utaratibu.
Na sasa anaomba asamehewe arudishwe kundini, teh!Hapa ni chuki tu umeendekeza Mtani na si uhalisia wa mambo
Labda Nikwambie tu katika vilabu vinavyootwa sana na wachezaji hapa nchini basi Timu ya Wananchi nayo ni moja wapo na ndio sababu hata Tshishimbi alipobeep na sisi kumpigia mwisho wa siku akabaki kutoa kauli za huruma tu huku dhahiri akionyesha kaumia kuachwa na Wananchi..
Na kwa sasa muda wa kubembelezana haupo Swahiba. Walijua tutawasujudia. LolUpdates:
Tumewapiga chini rasmi leo