Jaja na Coutinho wacheze mechi nyingi za nyumbani ili kuwafanya wacheze kwenye viwango vyao kwa muda mrefu wa ligi. Mikoani watakamiwa na kuumizwa na viwanya vibovu vya mikoani vitasababisha wacheze chini ya viwango vyao
kisheria ni kugomea viwanja vibovu hivi vilabu vikubwa viite caf au fifa kukagua hivyo viwanja vya kuchezea fiesta sio waende tff wakipewa bia mbili wanapitisha
kisheria ni kugomea viwanja vibovu hivi vilabu vikubwa viite caf au fifa kukagua hivyo viwanja vya kuchezea fiesta sio waende tff wakipewa bia mbili wanapitisha