Utangulizi:
Kinachoendelea Burundi ni chokochoko za kudestabilize nchi iingie kwenye machafuko especially genocide. Waasi wanaua raia hovyo hovyo kwa jina la upinzani. wananchi ambao wanamuunga mkono Nkurunzinza ambao ndio wengi wanachokozwa ili walipe kisasi kwa raia wenzao wachache ambao wanaunga mkono upinzani. Situation kama hii ni ngumu kwa serikali yoyote ile ikiwamo ya Nkurunzinza. Jeshi au polisi haliwezi kuwapata waasi hawa kwa kuwa wanafanya mashambulizi ya kigaidi na kupotea. Kwa upande mwingine huwezi kuzuia raia ambao watalipiza kisasi kutokana na mashambulizi yanayolenga jamii yao. Kwa vyovyote vile mauaji ya visasi yatakuwa ni responsibility ya serikali. Serikali italaumiwa kwa kushindwa kudhibiti waasi na vile vile kwa kushindwa kudhibiti raia wanaoua raia wenzao.
Nini cha kufanya:
Cha kufanya haraka sana ni kushirikiana na jumuiya ya kimataifa. Waswahili husema mchawi mpe mtoto amlee. Haraka sana Nkurunzinza anatakiwa kualika majeshi ya UN ya kulinda amani lakini yenye mandate ya kupokonya silaha na kufanya mashambulizi kama ile tuliyokuwa nayo Tanzania dhidi ya M23. Kwa kufanya hivyo jumuiya ya kimataifa itakuwa ndiyo yenye mzigo wa kupambana na waasi hawa. Na mara moja watagundua nani yuko nyuma ya waasi hawa. Ni kama vile tulivyokuwa tunaulizana nani ni M23 lakini baada ya UN kuingia, ikatolewa ripoti iliyoweka bayana nani ni nani. The same needs to be done in Burundi.
Hili inabidi lifanyike haraka while Nkurunzinza still has legal legitimacy as president. Siku zinavyokwenda kuna uwezekano image yake ikawa so tarnished kiasi kwamba jumuiya ya kimataifa imtenge kama rais, na kuweka sharti kwamba ili walete jeshi inabidi yeye akae pembeni. Hivyo waasi watakuwa wameshinda lengo lao.
Solution rahisi ni ku engage international community, waasi/wapinzani waitwe, wahojiwe ninyi ni nani na mnataka nini? Since hawana hoja yoyote ya kisheria na bado wanalenga raia wasio na hatia, the entire world will be against them na hivyo Nkurunziza atakuwa exonerated. Vinginevyo Nkurunzinza akiendelea kushughulikia suala hili peke yake ataishia kule kule kwa Habyarimana ambaye alipendelea mazungumzo badala ya vita hata kusaini mkataba wa amani, lakini leo hii waasi waliofanya mauaji ya raia wasio na hatia kwa miaka minne na mwisho kumtungua kwa kombora, wanasema yeye ndie genocidaire!
lol! kweli huu ushauri ni wa bure ingawa najuwa wewe utakuwa ushalipwa zako na FDLR... ushauri gani umejaa upumbavu? hebu kwanza nijibu hili swali, lakini uinterahamwe pembeni, hivi umekuwa ukimtambua Nkurunziza kama Raisi wa Burundi kwa miaka mingapi na kwa awamu ngapi?Utangulizi:
Kinachoendelea Burundi ni chokochoko za kudestabilize nchi iingie kwenye machafuko especially genocide. Waasi wanaua raia hovyo hovyo kwa jina la upinzani. wananchi ambao wanamuunga mkono Nkurunzinza ambao ndio wengi wanachokozwa ili walipe kisasi kwa raia wenzao wachache ambao wanaunga mkono upinzani. Situation kama hii ni ngumu kwa serikali yoyote ile ikiwamo ya Nkurunzinza. Jeshi au polisi haliwezi kuwapata waasi hawa kwa kuwa wanafanya mashambulizi ya kigaidi na kupotea. Kwa upande mwingine huwezi kuzuia raia ambao watalipiza kisasi kutokana na mashambulizi yanayolenga jamii yao. Kwa vyovyote vile mauaji ya visasi yatakuwa ni responsibility ya serikali. Serikali italaumiwa kwa kushindwa kudhibiti waasi na vile vile kwa kushindwa kudhibiti raia wanaoua raia wenzao.
Nini cha kufanya:
Cha kufanya haraka sana ni kushirikiana na jumuiya ya kimataifa. Waswahili husema mchawi mpe mtoto amlee. Haraka sana Nkurunzinza anatakiwa kualika majeshi ya UN ya kulinda amani lakini yenye mandate ya kupokonya silaha na kufanya mashambulizi kama ile tuliyokuwa nayo Tanzania dhidi ya M23. Kwa kufanya hivyo jumuiya ya kimataifa itakuwa ndiyo yenye mzigo wa kupambana na waasi hawa. Na mara moja watagundua nani yuko nyuma ya waasi hawa. Ni kama vile tulivyokuwa tunaulizana nani ni M23 lakini baada ya UN kuingia, ikatolewa ripoti iliyoweka bayana nani ni nani. The same needs to be done in Burundi.
Hili inabidi lifanyike haraka while Nkurunzinza still has legal legitimacy as president. Siku zinavyokwenda kuna uwezekano image yake ikawa so tarnished kiasi kwamba jumuiya ya kimataifa imtenge kama rais, na kuweka sharti kwamba ili walete jeshi inabidi yeye akae pembeni. Hivyo waasi watakuwa wameshinda lengo lao.
Solution rahisi ni ku engage international community, waasi/wapinzani waitwe, wahojiwe ninyi ni nani na mnataka nini? Since hawana hoja yoyote ya kisheria na bado wanalenga raia wasio na hatia, the entire world will be against them na hivyo Nkurunziza atakuwa exonerated. Vinginevyo Nkurunzinza akiendelea kushughulikia suala hili peke yake ataishia kule kule kwa Habyarimana ambaye alipendelea mazungumzo badala ya vita hata kusaini mkataba wa amani, lakini leo hii waasi waliofanya mauaji ya raia wasio na hatia kwa miaka minne na mwisho kumtungua kwa kombora, wanasema yeye ndie genocidaire!
lol! kweli huu ushauri ni wa bure ingawa najuwa wewe utakuwa ushalipwa zako na FDLR... ushauri gani umejaa upumbavu? hebu kwanza nijibu hili swali, lakini uinterahamwe pembeni, hivi umekuwa ukimtambua Nkurunziza kama Raisi wa Burundi kwa miaka mingapi na kwa awamu ngapi?
cha kufanya ni kuwapisha warundi wajaribu mtu mwingine waone kama atawatoa kwenye umaskini walionao, hivi Nkurunziza angekuwa legitimate president tungefika hapa pote? mtu angeapishwa saa sita na kutoa tangazo pamoja na mwaliko asubuhi saa nne? acha vichekesho jMali, nyie endeleeni kumtafutia Nkurunziza mchawi nje ya nchi wakati mambo aliya provoke mwenyewe...
mi nafikiri huu https://www.youtube.com/watch?v=FToWhIRAM34 ndio ushauri wa bure na sio huo wako uliojaa chuki na unafiki kana kwamba ukweli hauujuwi...
lol! yani we bwana, ndio maana hata wabongo hawachelewi kusema article yako imekaa kihutu, huwa nabaki na cheko kwani huku kwetu ukisema mambo ya kihutu na kitutsi hata mimi ntakukimbia na sio kwamba naogopa kukamatwa bali nakuona kama vile mbaguzi na hivyo sio vema kujihusisha nawewe, anyway hiyo ndio hali halisi kutokana na historia mliyotuachia... haya, jMali mambo ya chenga pembeni! kwani wewe haujuwi jinsi katiba ya Burundi ilivyo kaa kimagumashi? najuwa hilo unalifahamu lakini kwa sababu ya tunazozijuwa mi na wewe ndio maana unataka kujifanya kuitetea katiba... kwa kifupi wananchi walikuwa hawajuwi hizo Techniques zote za hapo awali wao cha msingi ilikuwa ni nchi kuwa na amani, walipoona jamaa awamu ya kwanza hola na ya pili ndio kwanza anahangaika na kufunza watu kunoa mipanga(Imbonerakure) chini ya usimamizi wa wataalamu FDLR! haikupita mda mrefu tukaanza kuona watoto(kama sikosei victim wa kwanza wa Nkurumbi alikuwa mtoto, scout) wanawake na wazee wakianza kuuliwa na askari barabarani kwa sababu ya maandamano huku wengine wakikimbia majumba yao kwa sababu ya vitisho vya Imbonerakure... haya yote yalifanyika hata kabla ya uchaguzi, hata watu wake wa karibu walimwonya na tena nakuhakikishia hasingekosekana mtu wa kumfwatia na nchi ikasonga mbele... kwa bahati mbaya sana kakutana na warundi nao hawapendi upuuzi, ingawa unasema eti walikubali mazungumzo ya Arusha kwa sababu ya vikwazo lakini vita za kila siku na tawala dhaifu, navyo vilichangia! kwanza sio wakabila kama mlivyo... Burundi kama vile mataifa mengine machache eti waliwahi kubalikiwa kuwa na mmoja wa viongozi wa kuigwa kama vile Bagaza, jamaa aliinufaisha Burundi kwa kila namna, waliomfwata wote walikuwa watu wasio na msimamo, waendekeza ukabila, anasa... mtu kama mimi nnayeijuwa Burundi kwa mda mrefu, huwa nikiifananisha na Rwanda ndani ya miaka 21 nabaki naomba Mungu amwongezee uzima Raisi wetu Kagame atuongoze mpaka tunyooshe mikono juu wenyewe, hebu angallia jinsi wahutu wenzake wanavyomlaumu kwa kuwahaibisha chini ya utawala wake, huku watutsi nao wakijuta kwa nini waliachia nchi... kwa wewe mpenda ukabila, hivi wahutu wenye busara unafikiri hawakasilishwi na utawala uliopita wa Nkurumbi? mi nafikiri kipindi chake ulikuwa ni wakati muafaka wa kuonyesha ulimwengu kilicho waweka porini kwa zaidi ya miaka kumi au vipi? sio ushindwe alafu uanze kunoa visu na mapanga! hiyo hapana kabisa!Hee! FDLR bado ipo? Si majuzi tu ulinipa pole kwa kupigwa? Hahaha. Anyway, Nkurunziza ni rais halali kwa mujibu wa katiba halali ya Burundi. Na hili linathibitishwa na MAHAKAMA. Uhalali au uharamu ni juu ya raia wa Burundi. Sio mimi wala wewe. Wingi wa miaka sio hoja. Mbona hauhoji urais wa Kagame wa miaka zaidi ya 20? Mbona hauhoji uhalali wa Museveni wa miaka zaidi ya 27? Hawa wote pamoja na kwamba "hatuwaelewi" kama watanzania, ni viongozi halali huko nchini kwao. Believe it or not, hata wakiibuka magaidi hapo Kigali wakawa wanaua raia hovyo hovyo ili kumshinikiza Kagame aachie madaraka, international community including me, tutamsupport Kagame! Kwa sababu constitutionally yeye ndio rais na anatambulika hivyo worldwide. There is no any justification ya kuua watu hovyo hovyo kwa sababu za kisiasa.
Machafuko yanayoendelea Burundi hayana msingi wowote kwa sababu waasi hawataki mazungumzo, wao wanachoma magari moto, wanatupa mabomu hospitalini n.k. wakitaka nchi isitawalike. How do you justify that?
Lastly nikukumbushe kuwa watutsi wameendesha Burundi toka 1962, je waburundi walikuwa na afadhali kwenye umaskini wao kabla ya Nkurunzinza? Do you know kwamba chini ya mtutsi mmoja Burundi ilifikia hatua ya kutengwa? Umaskini walionao warundi unatokana na viongozi madikteta wa kitutsi, huwezi kumsingizia Nkurunzinza kwa hilo.
lol! yani we bwana, ndio maana hata wabongo hawachelewi kusema article yako imekaa kihutu, huwa nabaki na cheko kwani huku kwetu ukisema mambo ya kihutu na kitutsi hata mimi ntakukimbia na sio kwamba naogopa kukamatwa bali nakuona kama vile mbaguzi na hivyo sio vema kujihusisha nawewe, anyway hiyo ndio hali halisi kutokana na historia mliyotuachia... haya, jMali mambo ya chenga pembeni! kwani wewe haujuwi jinsi katiba ya Burundi ilivyo kaa kimagumashi? najuwa hilo unalifahamu lakini kwa sababu ya tunazozijuwa mi na wewe ndio maana unataka kujifanya kuitetea katiba... kwa kifupi wananchi walikuwa hawajuwi hizo Techniques zote za hapo awali wao cha msingi ilikuwa ni nchi kuwa na amani, walipoona jamaa awamu ya kwanza hola na ya pili ndio kwanza anahangaika na kufunza watu kunoa mipanga(Imbonerakure) chini ya usimamizi wa wataalamu FDLR! haikupita mda mrefu tukaanza kuona watoto(kama sikosei victim wa kwanza wa Nkurumbi alikuwa mtoto, scout) wanawake na wazee wakianza kuuliwa na askari barabarani kwa sababu ya maandamano huku wengine wakikimbia majumba yao kwa sababu ya vitisho vya Imbonerakure... haya yote yalifanyika hata kabla ya uchaguzi, hata watu wake wa karibu walimwonya na tena nakuhakikishia hasingekosekana mtu wa kumfwatia na nchi ikasonga mbele... kwa bahati mbaya sana kakutana na warundi nao hawapendi upuuzi, ingawa unasema eti walikubali mazungumzo ya Arusha kwa sababu ya vikwazo lakini vita za kila siku na tawala dhaifu, navyo vilichangia! kwanza sio wakabila kama mlivyo... Burundi kama vile mataifa mengine machache eti waliwahi kubalikiwa kuwa na mmoja wa viongozi wa kuigwa kama vile Bagaza, jamaa aliinufaisha Burundi kwa kila namna, waliomfwata wote walikuwa watu wasio na msimamo, waendekeza ukabila, anasa... mtu kama mimi nnayeijuwa Burundi kwa mda mrefu, huwa nikiifananisha na Rwanda ndani ya miaka 21 nabaki naomba Mungu amwongezee uzima Raisi wetu Kagame atuongoze mpaka tunyooshe mikono juu wenyewe, hebu angallia jinsi wahutu wenzake wanavyomlaumu kwa kuwahaibisha chini ya utawala wake, huku watutsi nao wakijuta kwa nini waliachia nchi... kwa wewe mpenda ukabila, hivi wahutu wenye busara unafikiri hawakasilishwi na utawala uliopita wa Nkurumbi? mi nafikiri kipindi chake ulikuwa ni wakati muafaka wa kuonyesha ulimwengu kilicho waweka porini kwa zaidi ya miaka kumi au vipi? sio ushindwe alafu uanze kunoa visu na mapanga! hiyo hapana kabisa!
Hee! FDLR bado ipo? Si majuzi tu ulinipa pole kwa kupigwa? Hahaha. Anyway, Nkurunziza ni rais halali kwa mujibu wa katiba halali ya Burundi. Na hili linathibitishwa na MAHAKAMA. Uhalali au uharamu ni juu ya raia wa Burundi. Sio mimi wala wewe. Wingi wa miaka sio hoja. Mbona hauhoji urais wa Kagame wa miaka zaidi ya 20? Mbona hauhoji uhalali wa Museveni wa miaka zaidi ya 27? Hawa wote pamoja na kwamba "hatuwaelewi" kama watanzania, ni viongozi halali huko nchini kwao. Believe it or not, hata wakiibuka magaidi hapo Kigali wakawa wanaua raia hovyo hovyo ili kumshinikiza Kagame aachie madaraka, international community including me, tutamsupport Kagame! Kwa sababu constitutionally yeye ndio rais na anatambulika hivyo worldwide. There is no any justification ya kuua watu hovyo hovyo kwa sababu za kisiasa.
Machafuko yanayoendelea Burundi hayana msingi wowote kwa sababu waasi hawataki mazungumzo, wao wanachoma magari moto, wanatupa mabomu hospitalini n.k. wakitaka nchi isitawalike. How do you justify that?
Lastly nikukumbushe kuwa watutsi wameendesha Burundi toka 1962, je waburundi walikuwa na afadhali kwenye umaskini wao kabla ya Nkurunzinza? Do you know kwamba chini ya mtutsi mmoja Burundi ilifikia hatua ya kutengwa? Umaskini walionao warundi unatokana na viongozi madikteta wa kitutsi, huwezi kumsingizia Nkurunzinza kwa hilo.
jMali pata wosia wa mzee https://www.youtube.com/watch?v=89y34eUG5Ao , labda itabadili kidogo mawazo yako maana kila nikikuambia ubaguzi mbaya we haukubali, ukabila umekutafuna kiasi kwamba hauoni ubovu wa Nkurunziza? kazi ipo!