Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 345
- 307
Si mwenzenu huyo cdm.huoni hata mapokezi yake kigoma walizuia watu wasipeperushe bendera pia wasivae sare za cdm?Mie natoa ushauri kuwa, viongozi wabuni utaratibu mzuri ili sisi wanachama tuamue hatima ya Zitto.
Si mwenzenu huyo cdm.huoni hata mapokezi yake kigoma walizuia watu wasipeperushe bendera pia wasivae sare za cdm?
Mie natoa ushauri kuwa, viongozi wabuni utaratibu mzuri ili sisi wanachama tuamue hatima ya Zitto.