Yapo mambo kwa akili ya kawaida ya binadamu yanahitaji tafakuri ya kina.Muda umefika sasa kwa watanzania kuweza kufikiri nje ya box kuliko kujitoa ufahamu na kujifanya kama hatuoni km kijana wetu tunaempenda anapotea na
kama kuna hatua za dharura tunaweza kuzichukua kumsaidia uyu kijana arudi kwenye mstari ili tusije tukampoteza
Mifano iko mingi sana na watanzania tunaijua lakini mimi sitaki kupotea muda hapa wa kutoa mifano kibao na kujaza gazeti, nitatoa mfano mmoja tu
"Yaani kwa akili tu za kawaida inawezekana vipi ukaleta wasanii wakubwa kama Wizkid na Tiwa Savage toka Nigeria mpaka bongo na kuwalipa "huge sums of money" na hapo hapo kuwapa malazi katika "five stars hotels" lkn babako mzazi aliyekuleta katika dunia hii bado anaishi Tandale kwa Mtogole na anatembelea bodaboda?! Hata kama ni roho mbaya hii umepitiliza
Ebu watanzania wa upendo tulionao tulijadili hili suala kwa umakini ili tumsaidie huyu kijana njia aliyoamua kuipitia kupata haya mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio nzuri na kuna kila dalili kuwa mwisho wake utakuwa mbaya sana usipochukua hatua za dharura kumsaidia dunia itatuuhukumu baadae
Nafungua mjadala kwa maswali "ni kweli Diamond amemtoa babake ndondocha ili kuyapata haya mafanikio yake?"...."is something going on behind the scene of his success?"..... Tiririka mdau