Ushauri unahitajka

alipofika

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
41
Reaction score
12
Hope weekend hiko poa kwenu,

For a long tyme now nimefall in love kwa mtu ambaye inaonekana hayuko interested wth me nipo na wakati mgumu katka hili najitahidi kumsahau but nashindwa.

Please naomba ushauri nifanyaje
 
Njoo The Signature nikwambie nini cha kufanya........asikuzingue.........
 
Hayo maamuzi tu, funguka waweza badili mtazamo wake akijua ukweli wa hisia zako kwako.
 
Nmefanya hvyo kadr ya uwezo wangu bt stll sjafanikiwa@Menthry
 
Kwahiyo huwezi kabisa kumsahau?
 
Wewe ni wa jinsia gani, halafu una lengo gani naye kumuoa/kuolewa naye?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…