Ushauri Unahitajika

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
468
Reaction score
639
Wakuu kwema?Nina mdogo angu wa mwisho katika familia yetu actually yeye ni mwalimu wa sekondari katika halmashauri X mwenye elimu ya Diploma , imefikia stage sasa anataka akajiendeleze ki elimu and this time anataka kulisaidia taifa katika kada nyingine kati ya UHASIBU au AFISA BIASHARA...kwa ambao wapo na ualewa katika hili naomba tumpe ushauri ipi kati ya hizo kozi mbili ina fursa nyingi nyingi kwa maaa ya marupurupu.?
 

Mwambie ajiajiri mkuu
 
Pole yake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…