R Registerd Member Joined Mar 3, 2017 Posts 13 Reaction score 11 Jun 26, 2019 #1 Nimekuwa najikuta nawapenda madem wa rafik yangu mmoja. Nikiwatongoza huwa hawakai and I have dated most of them. Tabia yangu hii mbaya naona inataka kukomaa naombeni ushaur jaman nifanyaje ili ikome?
Nimekuwa najikuta nawapenda madem wa rafik yangu mmoja. Nikiwatongoza huwa hawakai and I have dated most of them. Tabia yangu hii mbaya naona inataka kukomaa naombeni ushaur jaman nifanyaje ili ikome?
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,480 Jun 26, 2019 #2 Una mapepo kaombewe
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,815 Reaction score 4,791 Jun 26, 2019 #3 wacha zinaa...........kama kweli unajua thamani ya URAFIKI......wacha kabisa huo upuuzi
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,935 Jun 26, 2019 #4 Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki By Nick wa pili. Baba aliniusia, "Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ". Sasa wewe unachotafuta, utakipata.
Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki By Nick wa pili. Baba aliniusia, "Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ". Sasa wewe unachotafuta, utakipata.
R Registerd Member Joined Mar 3, 2017 Posts 13 Reaction score 11 Jun 26, 2019 Thread starter #5 Nimeomba mwenyewe nikashindwa labda hili LA kuombewa ntajaribu. Demiss said: Una mapepo kaombewe Click to expand...
Nimeomba mwenyewe nikashindwa labda hili LA kuombewa ntajaribu. Demiss said: Una mapepo kaombewe Click to expand...
R Registerd Member Joined Mar 3, 2017 Posts 13 Reaction score 11 Jun 26, 2019 Thread starter #6 SK2016 said: Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki By Nick wa pili. Baba aliniusia, "Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ". Sasa wewe unachotafuta, utakipata. Click to expand... Nawapenda marafiki zang sana ila huyu jamaa nahis ana bahat mbaya namim
SK2016 said: Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki By Nick wa pili. Baba aliniusia, "Mwanangu usigombane wala kukosana na rafiki yako kisa mwanamke ". Sasa wewe unachotafuta, utakipata. Click to expand... Nawapenda marafiki zang sana ila huyu jamaa nahis ana bahat mbaya namim