kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Salamu wadau,
Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.
Hujaamua tu mbona rahisi
Hujaamua tu mbona rahisi
kwa mfano? c unajua watu mliozoena na alikualaghai anakupenda kweli anakuoyesha mahaba ya uhakika. ghafla anakubadilikia tena kimyakimya ni vitendo tu bila kukutamkia. nifanyaje
ukipenda unasahau hata kama ulifanyiwagwa ushezi
Salamu wadau,
Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.
tunfanya issue zetu binafsi sema ktk eneo moja. so hatuna boss.Kubali yaishe kijana.....kwanza utampendaje mtu mnafanya sehemu moja?labda kama ni wewe ndio bosi sawa ila kama wewe ni staff uko chini ya bosi hiyo ni mistake umefanya maana kama na bosi anamtaka mkiingia kwenye ligi we unapigwa knock out....so achana naye katafte mwanamke sehemu nyingine huko mbona wapo kibao.
tunfanya issue zetu binafsi sema ktk eneo moja. so hatuna boss.
dah! asante sana sana ndugu.Muone hana nguvu kwako, usifuatilie ishu zake, kama hakuna ulazima wa kuwa na namba yake basi DELEATE, kama muna group chat, jitoe kwa muda.
Kwanza si unamjua tayari, ona wa kawaida tu, shida ni kama hujawahi kuwa na mahusiano kabla, lakini kama ilikuwa, basi toka kama ulivyotoka huko ulikoanza, tafuta na kasoro aliyonayo, ikuze zaidi uone ulikosea kueanae