ushauri tafadhali

Joined
Dec 13, 2012
Posts
18
Reaction score
6
Km nataka kupeleka barua ya kuacha kazi kwa mwajiri wangu na tarehe ya mshahara ni tarehe 24.Je kati ya tarehe 23 na 24 ni tarehe ipi itakuwa vyema kupeleka barua,kwa malengo nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi husika.Msaada tafadhali.
 
Una matatizo wewe watu wanatafuta kazi wewe unaacha? think twice kijana
 
Pokea Mshahara wako hiyo trh 24 alafu kaa home 3days bila taarifa kwa HR wako. Siku ya 4 utapokea barua kutaarifiwa huna kazi. just simple like that.
 
Pokea Mshahara wako hiyo trh 24 alafu kaa home 3days bila taarifa kwa HR wako. Siku ya 4 utapokea barua kutaarifiwa huna kazi. just simple like that.

Sometimes complex problems have very simple solutions!
 
Km nataka kupeleka barua ya kuacha kazi kwa mwajiri wangu na tarehe ya mshahara ni tarehe 24.Je kati ya tarehe 23 na 24 ni tarehe ipi itakuwa vyema kupeleka barua,kwa malengo nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi husika.Msaada tafadhali.

Unaaacha kazi kwa nini? Umepata kazi sehemu nyingine na ni lazima uache kazi ndani ya masaa 24, sio kitu kizuri kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo na sio uungwana pia.

Kumbuka usiondoke sehemu kwa ubaya huwezi jua mbele ya safari utahitaji kitu gani na nani atakua nacho, huenda mwajiri wako wa sasa akawa msaada kwa namna moja ama nyingine.
 
Pokea Mshahara wako hiyo trh 24 alafu kaa home 3days bila taarifa kwa HR wako. Siku ya 4 utapokea barua kutaarifiwa huna kazi. just simple like that.

hapo atakuwa atakuwa amejifukuzisha kwa utoro yeye anataka ku resign
 
Ukipata kaz fanya kazi usione kazi kufanya kazi acha kaz uone kaz kupata kaz.,
me najua utakuwa umeya~miss mabench ya kitaa haya njoo tuyasugue kwa makalio.ila lait km nngekuwa mimi cwezi kuaacha kaz kama cjapata kaz.
 
very interesting!!!!
wengine tunasugua bench kitaa hatuna kazi, et wewe unataka kuacha kazi!!!
labda kama umepata nyingine yenye maslahi....!
Unless otherwise, kila la kheri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…