kwa kawaida huwa ninapata hedhi baada ya siku 27 au 30, nimajaribu kama miezi mitatu kupata ujauzito ila naona hola. naombeni ushauri hapo ni siku zipi sahihi za kupata ujauuzito. pia naweza kutumia multvitamin bila kuapata ushauri wa daktari.
inawezekana tatizo lisiwe upande wako...maybe likawepo tatizo kwa partiner wako! nendeni wote wawili kwa daktari wa masuala ya uzazi. halafu huwa nasikia kuna masuala ya kusafisha njia ya uzazi ya mwanamke ambayo hufanywa ktk hospital. hiyo kitu ikifanyika njia inakuwa nyeupeee...one kirk gooooooo....