Wakuu salaam ,, nimemaliza kidato cha sita 2012 nikipata divisio 3 point 16 E ,D,na F Nimemaliza diploma ya elimu 2014 , (chemistry &Biology) GPA ya 3.0. Ningependa kujiunga na masomo ya degree mwaka wa masomo 2019/2020 ,kwa field ya elimu ,, ama psychology. Je kwa matokeo yangu hapo naweza kupata chuo?... Hasa kwa vyuo vya serikali sababu ya unafuu wa ada.!..
Sent using
Jamii Forums mobile app