majibaridi Member Joined Dec 7, 2017 Posts 6 Reaction score 2 Dec 7, 2017 #1 Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz
majibaridi Member Joined Dec 7, 2017 Posts 6 Reaction score 2 Dec 8, 2017 Thread starter #3 farharu said: Weka picha Click to expand... Tayari
ashrafshu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 302 Reaction score 142 Dec 8, 2017 #4 majibaridi said: Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz Click to expand... Nenda garage ya Subaru pale kinondon biafra unaweza pata ufumbuzi mkuu
majibaridi said: Inatatizo la Crankshaft upatikanaji wake umekuwa wa ghali inabidi half engine nafikilia kuiuza hivyovyo!! itawezekana?? ina miezi mitano Tz Click to expand... Nenda garage ya Subaru pale kinondon biafra unaweza pata ufumbuzi mkuu
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,194 Reaction score 33,576 Dec 9, 2017 #6 nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana
majibaridi Member Joined Dec 7, 2017 Posts 6 Reaction score 2 Dec 10, 2017 Thread starter #7 Countrywide said: nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana Click to expand... Sio hiyo uliyoiona
Countrywide said: nlionaga inauzwa hii kule insta na madalali, kumbe we ndo uliinunua?? hukuikagua??pole sana Click to expand... Sio hiyo uliyoiona
Mungu ibarik JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,376 Reaction score 11,520 Sep 24, 2018 #8 ushaiuza mkuu
Mungu ibarik JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,376 Reaction score 11,520 Sep 26, 2018 #9 Hii gari bado ipo. Naitaka