Nimejitahidi kufanya hivyo na kwa sasa najitahidi kumake sure sms inbox iko empty lkn wapi, nikajaribu kuchange sms storage kwenda kwenye sim card kutoka kwenye phone storage pia haikusaidia.nenda kwenye sms kisha futa sms za zamani zote,
Naomba nikuulize hiyo gmail account ulifingulia simu unaitumia kwenye simu nyingine.Wakuu, Salaam.
Simu yangu ina shida ya kutoonyesha sms zinazoingia i.e. kuna wakati zinaoneka zinapoingia lkn wakati mwingine hazionekani ingawa simu inapokuwa idle huwa inawaka(mwanga) kuashiria kuna sms imeingia lkn nikifungua kucheck hakuna sms, na watu huwa wananijulisha kuwa wamenitumia sms ila kwangu haionekani.
Naamini humu mko mliowahi kukutana na shida kama hii wakaitatua au mna utaalamu wa namna ninavyoweza solve hili tatizo.
Simu yangu ni TECNO-W3LTE.
Thanks in advance kwa ushauri nitakaoupata hapa.
baada ya kufanya hivyo zima simu kisha iwasheNimejitahidi kufanya hivyo na kwa sasa najitahidi kumake sure sms inbox iko empty lkn wapi, nikajaribu kuchange sms storage kwenda kwenye sim card kutoka kwenye phone storage pia haikusaidia.
Na hujawai kumfungulia mtu kwa gmail yako au gmail yako alikufungulia mtu kwa kutumia gmail yake.Kuna jamaa mmoja alimfungulia mtu kwa gmail yake akapata shida kama hiyo sms hazifiki au zinafika kwa kuchelewa alijaribu njia zote hadi ku hard reset alicho kuwa anakosea ni ku hard reset nakurudia gmail ileile anayotumia jamaa zinaingia kwa mda alafu tatizo linarudi kilicho saidia ali hard reset nakufungua gmail mpya shida ikaisha kabisa.Kwa hiyo jaribu njia nyingine ikishindikana i hard reset fungua kwa gmail mpya i hope itasaidia.Hapana mkuu haitumiki kwenye simu nyingine.
Shukrani mkuu, itabidi nijaribu kufanya hivi, maana inanipa tabu sana kwenye miamala ya simu.Na hujawai kumfungulia mtu kwa gmail yako au gmail yako alikufungulia mtu kwa kutumia gmail yake.Kuna jamaa mmoja alimfungulia mtu kwa gmail yake akapata shida kama hiyo sms hazifiki au zinafika kwa kuchelewa alijaribu njia zote hadi ku hard reset alicho kuwa anakosea ni ku hard reset nakurudia gmail ileile anayotumia jamaa zinaingia kwa mda alafu tatizo linarudi kilicho saidia ali hard reset nakufungua gmail mpya shida ikaisha kabisa.Kwa hiyo jaribu njia nyingine ikishindikana i hard reset fungua kwa gmail mpya i hope itasaidia.
Fanya hivyo uwe huruShukrani mkuu, itabidi nijaribu kufanya hivi, maana inanipa tabu sana kwenye miamala ya simu.
Mshauri tu mbona ctumii tecno na nimemshauriAmbao hatutumii Tecno tunacomment wapi???
Mkuu Tish, nashukuru kwa ushauri wako. Nilifanikiwa kufanya factory rest na kufungua email mpya niliyoitumia badala ya ile ya zamani, sasa ni almost a week sms nazipata vizuri, na kila nikifanya miamala ya simu sms zake nazipata wakati huo huo tofauti na ilivyokuwa awali.Fanya hivyo uwe huru
Nashukuru kwa kufanikiwa kwako Mungu anastahili utukufu wote mimi nimeelewa kwa sehemu tu na niwajibu wangu kuwapa wengineMkuu Tish, nashukuru kwa ushauri wako. Nilifanikiwa kufanya factory rest na kufungua email mpya niliyoitumia badala ya ile ya zamani, sasa ni almost a week sms nazipata vizuri, na kila nikifanya miamala ya simu sms zake nazipata wakati huo huo tofauti na ilivyokuwa awali.
Be blessed brother.
Good morning.