Hujaangalia vizuri mkuu mi mbona nimeona tofauti Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Mechi ya kwanza Al Ahly 7- Simba 0, ya pili Al Ahly 5- Simba 0!Jana nilifanya time traveling.....kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October......mnyama ( kolo ) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly
Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba
Nb: makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23].....kifuatacho ni aibu Kwa nchiView attachment 2737302
Tukiwaambia wanakua wakaliHujaangalia vizuri mkuu mi mbona nimeona tofauti Aggregate Al Ahly 12 - Simba 0! Mechi ya kwanza Al Ahly 7- Simba 0, ya pili Al Ahly 5- Simba 0!
Simba ni papatu papatu ligi ya ngao ya jamii hawakufunga goli hata moja dkk 90! Hata Singapore Big Stars waliishindwa sembuse Al Ahly! Hii michuano inaenda kulidhalilisha taifa!
Kwenye msafara wa Mamba wale wengine huwa hawakosi! Pot 1 timu Kali, pot 2 vibonde Simba na wengine! Simba mechi zao 2 tu ndo maana beki zao hazijaitwa Taifa Stars maana ni uchochoro!
Huwa nasema Ukweli tu ni desturi yangu! Simba ikitoboa nahamia kolowizard Mbumbumbu fc!
Unyama ni mwingiii tutawafunga tatu bilaa
Hapana,Yanga ndo atakayetoboa African football league mechi ijayoVp unaamini Simba atatoboa??
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!Jana nilifanya time traveling kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October. Mnyama (kolo) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly.
Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba
Nb: Makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]. Kifuatacho ni aibu kwa nchi.
View attachment 2737302
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!
Huu uzi utaukimbia japo umeuanzisha mwenyewe!! Al Ahly atakufa mbili bila kwa Mkapa halafu huko ugenini itakuwa ni sare ya mabao, 1-1. Al Ahly atakutana na unyama mwingi sana kwa Mkapa!!
Ngoja ikuume zaidi: Siyo bilioni 5 bali ni dola za kimarekani 2.5milioni (USD 2.5 milion). Ukizibadili kwa pesa za Tanzania hizo ni Tsh 6,250,000.000/= yaani bilioni sita na mia mbili hamsini milioni.(6.25 bilioni). Hizo kila timu inayoshiriki inapewa ikiwemo Simba!! Mshindi atapewa USD 11.5 milion!!Halafu simba mkishapata hizo billion 5 za maandalizi haraka sana mpeni mwamedi ku recover hasara alizopata
Ngoja ikuume zaidi: Siyo bilioni 5 bali ni dola za kimarekani 2.5milioni (USD 2.5 milion). Ukizibadili kwa pesa za Tanzania hizo ni Tsh 6,250,000.000/= yaani bilioni sita na mia mbili hamsini milioni.(6.25 bilioni). Hizo kila timu inayoshiriki inapewa ikiwemo Simba!! Mshindi atapewa USD 11.5 milion!!
Poleni sana wenye wivu!!
Ikitokea simba kwa bahati mbaya ikatolewa lakini itakuwa imevuna shilingi 6.25 bilioni!! Hapo vipi!! timu ya "wananchi" mtazisikia kwenye bomba tu!!Mnaenda kusindikiza
Ndiyo tatizo la kubemendwa.Jana nilifanya time traveling kuona matukio ya mbele ghafla niliona tarehe 20 October. Mnyama (kolo) aka Simba [emoji250] [emoji250] amekufa Kwa mvua kubwa ya magoli na miamba wa soka Al ahly.
Matokeo yalikuwa hivi
Al ahly 8 __0 Simba
Nb: Makolo mwendo wameumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]. Kifuatacho ni aibu kwa nchi.
View attachment 2737302
Elfu 10 ndo hela gani? Gharama ya kuja kuichukua ni mara 5 ya hiyo!!Mkiwafunga tatu bila ALAHLY njoo uje uchukue elf kumi kwangu