Ushauri: Pete inanikosesha utamu halisi

uongo wa mchana. mtu avae pete asivae pete cha muhimu ni kama anazo mbegu au hazipo. kama zipo hata ukiziweka mkononi ukachovya kidole ukaweka pale kwenye shimo kama demu yupo heat anapata mimba. sema unatafuta promo wajue wewe sio kibamia.
 
Lipia tangazo
Unajipa promo,wewe so ndie yule mwenye kibamia!!??
Acha hizo bro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…