Wagwaaan!
Mimi ni kijana ambae nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2014 na kwa sasa nafanyakazi na kampuni binafsi inayojihusisha na mambo yaukandarasi.
Kwa sasa ninampenzi ambaye nimedumu nae kwa takribani four years na tulishatambulishana kwa wazazi wa pande zote.
Kama mnavyojua katika harakati zakutafuta maisha bora zaidi mwaka huu siku Si nyingi naweza nikaenda kulitumikia taifa na malengo yangu ni kua mwanajeshi. Hii issue nilisha mshirikisha mpenzi wangu na respond yake sikuipenda Sana kwasababu niliiona ya Mashaka Mashaka kutokana na sababu aliyoniambia eti amenizoea Sana na ananipenda Sana coz muda mwingi huwa tuko pamoja tukishare mambo mbalimbali so anaona nikienda huko jeshini utakua mpweke Sana maana tunaweza tusionane kwa zaidi ya mwaka (nikimuangalia body language yake inaonesha kua upweke utamshinda).
Mimi Kama mwanaume nimejaribu kumpa moyo Sana na kumwambia napigana kuajiliyake Ila amekubali but nikimtafakari kwa mkini nahisi Kama anakubali shingo upande tu, sasa nimepanga kabla sijaenda mafunzoni nimpachike mimba kabisa mnanishaurije wadau.